Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Kwani Waitara kapatwa na nini?😂
147,184 görüntüleme • 3 yıl önce •via X (Twitter)
9 Yorum

😂😂

His goose is cooked

Anajua 2025 hayupo tena mjengoni na hajajipanga kabisa hivyo anatafuta huruma abaki.

Hakika @HecheJohn ndie alistahili kuwa mwakilishi wa wananchi, amethibisha kutokuwa na uwezo tena.

mwalimu mwenzangu wa hisabati kwa nini chozi hili hadharani, walimu tu dhaifu kiasi hiki?? nchi hii matatizo ni mengi mnoo mtaani wanasema rukuki je utalia mala ngapi kwa kila tatizo likukutalo??

Huyu analia kwa sababu anakumbuka usaliti alioufanya kwa CDM sasa hawezi kurudi CCM hawamtaki tena maana sio wao. Atajuwa hajuwi chama kina wenyewe.

Sema Konyagi inaliza acheni haijawakumba. We know.

Huyu tapelitu hana lamanaa kwanza mwanaume unalia unapigisha vidole kischana hivyo apeleke huko muongo mkubwa huyu

Joto la 2025 limeanza Kuunguza

