9 Yorum
Yorumlar X (Twitter) üzerindeki orijinal gönderiden alınmıştır

@Rydx_017
Waziri wa habari sanaa na Michezo kawataja Dogo Pateni na Zuchu wakati anawasilisha bajeti Na kusema kuwa unapoenda kinyume na Maadili hatakama mgeni rasmi ni nani Utachukuliwa Hatua... Video kwa Comments 👇
1.831 beğeni

@Rydx_017
Ikaendelea...
113 beğeni

@Rydx_017
Huyu hapa akiongea kwa urefu
121 beğeni

@SolarHeavy
this one is such a vibe
16.262 beğeni

@DiiDimplezz
mbungeee hana kazi bdooo hajengee barabara kwahoo

@Ellyimani07
)))

@MsigwaLevi54687
Singeli iliyofanya watu wachangamke.😂😂

@OfficialNahason
Badala uangalie maendeleo y nchi na barabara uko busy n kuchngamsh watu

@GiftEnderbury
Nigga speak about how u gon fix our budget, we like Zuchu and Paten okay?