11 комментариев
Комментарии из оригинального поста в X (Twitter)

@yohanamx
Kwan nani mwenye mimba? Mimba ni ya mwenye mimba. Kwa sababu toyota wanatwngeneza magari, haimaanishi ukinunua gari toyota gali ni lao. Gari ni lako.
3 отметки «Нравится»

@fancojapan
NEW OFFICIAL COLLABORATION ALERT! Get your PERSONALIZED @MHAOfficial Japanese hanko stamps at for yourself, friends and family! #fanco #mha #MyHeroAcademia
4 319 отметок «Нравится»

@MtumwaWaYesu
Ya Noeli🤣
2 отметки «Нравится»

@GustavNoel
Afande kanishtua san 😅
1 отметка «Нравится»

@lukandilwa
Noel tuma namba kupe chochote uesikepu mapema ndugu yetu shuhuri imesha kuwa kubwa huku Asee
1 отметка «Нравится»

@IssaRanger
Nikajua ni yule chalii shemeji yangu wa Singida
1 отметка «Нравится»

@peter_rich48872
Uliyeshirikiana nae kupata mimba,hiyo mimba ni yenu
1 отметка «Нравится»

@awilo_kamau
@grok mwanamke akipewa mimba eti hiyo mimba ni ya nani?
1 отметка «Нравится»

@GasperMillanzi
na waowanabebaje kitu sio Chao mbona wanajikana wenyewe
1 отметка «Нравится»

@MCChard_
Kama una mimba yangu si unirudishie 😃😃
1 отметка «Нравится»

@dash_crony
Wanaobeba ni kina Nani
1 отметка «Нравится»
