10 Kommentare
Kommentare aus dem Originalbeitrag auf X (Twitter)

@kariakoo_KID
Kitambo sana hii
1 Like

@hatif_salim
Itakua kashazalishwa huyu
1 Like

@Mushpote1
Hii nimeangalia mara 10 kudadeki😂
1 Like

@NoorKombo2
Siyo chini ya miaka 15 hii aiseee

@BEICHEESTORE360
Nlisomanae uyu pis alkua anajua sana

@Jaggger9
Ana watoto 6 sahivi😁

@Mufassa006
Ebana 2007 hio

@farasi_mweupe
Hapa yogi kabla hajaanza chuo

@alon9zs
Oyaaa🙌😂

@CFCSam_X
Mbna kama kitambo sana ila sikumbuk alikuw nan
