Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Mnaskia Ujumbe ??
11 Yorum

Vituko vya Chepe1 yıl önce
Huyu kwanza ana flat hapo nyuma na kiuno hana,sasa anataka wanawake wote wawe kama yeye?hana chakukata sasa atakata nini huyu?labda aendelee kukata hiyo tamaa...akwende kule na tutoko twake.

Solar Heavy1 yıl önce
does this represent Miami?

Paschal Boaz1 yıl önce
Matako yenyewe hana afu anaongea ujinga, kwa hiyo wanaume ndio tukate viuno au anataka tukakatikiwe na nani.... mafiii 🤥🤧

S A B I S T A R1 yıl önce
Camera man mnafki sana….hakukuwa na haja ya kuzoom out 🤣🤣🤣

Robert1 yıl önce
Sa mbona yeye mwenyewe hana kiuno ,,atakataje sasa hayo mauno😂😂

Bro La Mbezi🧔1 yıl önce
Huyu anachokifanya hapo mbele hanatofauti na muuza vitabu vya namna ya kua tajiri halafu anatembea kwa miguu utapeli tu🚮

Anko✨1 yıl önce
Bila shaka ni Mchaga 😆😆

Mswazi Smart1 yıl önce
😂Wachaga bhan

Ng'engeri1 yıl önce
Sishangai maana kiuno chenyewe hana

🦁𝐁 𝐈 𝐇 𝐄 𝐌 𝐎 ™1 yıl önce
Huyu msimbe anawaponza wenzie

Nomadic healer 𝕏🧟1 yıl önce
When a single mother decided to be a pastor
