Sensitive content
This media may contain sensitive content.
Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Muda wa KUNESA NESA.🫵🏾😁
32,260 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)
11 Kommentare

Binafsi nakimbia bora wanikamate tena kama wana mbio

[NINTENDO] Exclusive Now Available ➡️ #AAAclock ➡️ #SwitchOnline #SwitchOLED

"We pelembe pelembe we mama uringeee" 🎶🎵

Simika kichwa chini fungua usalama😂😂 nimekumbuka mbali sana!

Nasemaje huu usenge unatesaga sana kesho akikimbia yeye ni mwanaume

Kaka deni la Taifa limefika Trilion 97

💨 Siakimbie tajiri baadae afuate bajaji yake 😂

🤣🤣🤣kesho atembei

Hapo itakuwa kaulizwa kwann unachafua mazingira ya kambini? Akajibu nimechafua kivipi 😂😂😂😂😂

Kuna siku pale mwenge sheri ya puma nasikia honi nyingii nyuma kuchungulia naona hiyo sare kwenye gari, nilichochora chaap😂😂🫵

Afanyeeee kakaa ananesaaa Hvi DAMU ikichanganyikana tuongeee lugha moja
Ähnliche Videos
Sensitive content
Mzee wa KAZI ukimpa KAZI, haachi KAZI. Mwizi wa kwanza kupendwa Tanzania.🫵🏾😁 Sema kafunika BRAND kichwani anazingua mzee wa kazi. Wabongo wakiamua kukusapoti utashangaa.🫵🏾😁 TUTAKUWEPO🫵🏾😎
SATIVA17
24,884 Aufrufe • vor 9 Monaten
