Video yükleniyor...

Video Yüklenemedi

Ana Sayfaya Dön

53,172 görüntüleme • 6 ay önce •via X (Twitter)

31 Yorum

It all started in 1948🇹🇿🇵🇸 profil fotoğrafı
It all started in 1948🇹🇿🇵🇸6 ay önce

Kwa sasa wananchi wanawajibika kwa serikali. Unalipa Kodi, lakini ukihoji matumizi ya Kodi uliyolipa unapotezwa.

CHIEF MKAGURU 🇿🇼🇹🇿 profil fotoğrafı
CHIEF MKAGURU 🇿🇼🇹🇿6 ay önce

Mungu akubariki msema kweli F kitima.

ѴICTOR profil fotoğrafı
ѴICTOR6 ay önce

Kitima Amenyooka sana huyu Mzee

Akaza_255 profil fotoğrafı
Akaza_2556 ay önce

Mnashangilia lakini saa ya kuchukua Hatua kama wanaume mnaufyata i.e mnamuachia "mungu" 😂 "Nchi haikombolewi kwa Maombi... Nchi inakombolewa kwa MAPAMBANO" - Tundu Antipas Lissu *Mchungaji wako akikuambia tuombee Taifa mwambie, "Wewe ni MKUNDU, kwani Daudi alifanya Maombi?!"

cucson Muno profil fotoğrafı
cucson Muno6 ay önce

@HildaNewton21 Angemalizia kuwa Tanganyika sio koloni la Zanzibar

Joblube4 profil fotoğrafı
Joblube46 ay önce

@Adeltus13 Hawa ndio viongozi wa Mungu, na Mungu atawalinda na kuwapitisha. Kumbuka mateso ya mwenye haki ni mengi lakini Mungu humwokoa nayo.

Solomon Franco profil fotoğrafı
Solomon Franco6 ay önce

@Liberatus80 Well said Kitima.

◇ profil fotoğrafı
◇6 ay önce

Upo Kanisani lakini unapepesa mdomo kuhusu siasa!! Husikii Yesu akitajwa!!!

Broski_ profil fotoğrafı
Broski_6 ay önce

Siku hizi ni Radi tu 🙌🏾

Deus Gerald profil fotoğrafı
Deus Gerald6 ay önce

Asante sana Father,Moja ya watu makini na smart ndani ya taifa letu,hakika Mungu akujalie afya njema sana

Nabil profil fotoğrafı
Nabil6 ay önce

Mungu akapate ukujaalia afya njema na ukuu uliotukuka

Christian Lema profil fotoğrafı
Christian Lema6 ay önce

@agnesSwai2 👏👏👏💯

Dava Nico profil fotoğrafı
Dava Nico6 ay önce

Angeanza kusema toka kipindi cha Magufuli, tungeamini kuwa anania thabiti kutoka moyoni, kuamua au kufanya maamuzi kwa niaba ya wananchi kwa viongozi wetu wakuu, ni moja ya majukumu yao kikatiba, sasa maamuzi ya juu ya wananchi wafanye wananchi wote au...nukuu basi vipengele vyot

pagalale profil fotoğrafı
pagalale6 ay önce

AFRICA BADO INA USENGE MWINGI SANA ETI MTU UKIONEKANA UNAPINGA MAJAMBAZI WAUWAJI NA WATEKAJI UNATEKWA NA KUUWAWA . PUMBAVU KABISA

William J O’Neil bot profil fotoğrafı
William J O’Neil bot6 ay önce

👏👏👏

◇ profil fotoğrafı
◇6 ay önce

Wanyiramba wanachangamoto zao

Cyrus kakusu profil fotoğrafı
Cyrus kakusu6 ay önce

Ukweli wauma viongozi

Silas Pallangyo profil fotoğrafı
Silas Pallangyo6 ay önce

Endeleeni kujazana ujinga

warisinda profil fotoğrafı
warisinda6 ay önce

Huyo atoke awe mwanasiasa tupambane nae vizuri asitumie mimbari kusambaza chuki kwa watanzania, dhamira yak inamshuhudia kabisa .

Official Njuga🇹🇿 profil fotoğrafı
Official Njuga🇹🇿6 ay önce

Mdomo mchafu umejaa chuki kwa vazi la dini

Sir chandafa profil fotoğrafı
Sir chandafa6 ay önce

Mlipa kodi ni mwanachi lkn akihoji matumizi ya kodi aliyo Lipa anapigwa lungu 😀😀hiki ni kivutio kingine cha utalii Tanzania.

The Ironman profil fotoğrafı
The Ironman6 ay önce

Amen

The Gammar profil fotoğrafı
The Gammar6 ay önce

Tumroge Ikiwezekana

Mnada Nchege profil fotoğrafı
Mnada Nchege6 ay önce

Samuya must go now

Ramzan Kadyrov profil fotoğrafı
Ramzan Kadyrov6 ay önce

Ichukueni basi

Jamanloo profil fotoğrafı
Jamanloo6 ay önce

Mwambie Kitima Yesu hakufuata Sheria za Kaisari

byarugaba profil fotoğrafı
byarugaba6 ay önce

Ukweli mchungu

Charity Castro profil fotoğrafı
Charity Castro6 ay önce

Na nyiemachawa wa huyu mhaini mwenzenu anayejiita padre ,mtu anayevunja amani ya nchi kwa kuligawa Taifa..sijui mnaelewa vizuri hii sentensi..Huyu padre ni mtu mwenye Roho mbaya sana..kwanza amekuwa sehemu ya uasi kulitukanisha kanisa Takatifu Katoliki la mitume.,@VaticanNews

Salha Faheem profil fotoğrafı
Salha Faheem6 ay önce

Huyu Shoga atulie nakalio yake huko kanisani amuache Mama Samia afanye Kazi yake maana ndio Rais wa Nchi yetu Tanzania yeye apambane na mahubiri yake huko kanisani

The Great one. profil fotoğrafı
The Great one.6 ay önce

Safi sana Fr. Kitima.

AllyGuardiola7 profil fotoğrafı
AllyGuardiola76 ay önce

Kwan huyu jamaa kipindi cha JIWE alikuwa Wapi

Benzer Videolar