Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Mwamba apewe maua yake 🫡🙌😁
123,645 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)
11 Kommentare

Kwamba tumesahau alivyoua watanzania na kutupa miili yao coco Beach n.k Amefanya nini kikubwa zaidi ya sifa?

Sina ushahidi wa hizo tuhuma

💪 Merica, we're taking it back. 💯 You like Trump, you know it, time to show it. ✅ T's for Trump here:

Yanini?... mbona hii issue ni ya muda sana hata kuipanga ilianza kabla ya yeye kuwa RC.. @MoruoKing hii issue Meja alinambia kitambo sana.

@MoruoKing Iliwahi kufanyika hiyo kitambo?

Kwenye hiyo land rover festival kama nchi tutapata hela maana watu watatumia hela kula kulala mafuta service na kuspend kwenye moja na mbili mshkaj ametengeneza fursa hata kwa ma fundi wa ku pimp magari, pamoja na miyeyusho yake kibao ila tumpongeze for good advocacy kwenye hili

I see! Sijui namie nipeleke yangu ya 1980? 😂

Hasaa ndio zinatakiwa 😁

Makonda atabaki kua makonda tu no matter what . Japo aliwahi kuniweka lock up lakini cjawahi jutia kumfahamu.

Hata Kama mtu humpendi… must say this IS being creative!

Watu wakikuchukia ni tabu sana, hawatoona jema lolote
Ähnliche Videos
Sensitive content
Proffesor Chris Peter Maina!! Apewe maua yake!!
Jebra Kambole
38,781 Aufrufe • vor 1 Jahr
