Mwamba huyu hapa🤣🤣🤣
@AdellaTillya23K followers
237,441 views
37 Comments
Comments from the original post on X (Twitter)

@nyagani17
Huyu mwamba ana Balance ya hatari
37 likes

@AdellaTillya
Sanaaa
9 likes

@DigitalMigrant1
This part us when you hear your favourite tune kwa background kwamba the Dj is about to drop it.
34 likes

@mnywila
Mwamba unaweza kuta hata hajui shughuli ya nani kapewa tu kadi audhurie.😂
25 likes

@RafaelMasebu
Huyu mwamba wa Rombo huyu🤣🤣
14 likes

@AdellaTillya
🤣
2 likes

@KyaraJohn
Mwamba ana have the best moment of his life
14 likes

@JoyceHuru
Mi mtu akishavaa nguo mpya zote najua ni ndugu ni ex wa bibi harusi
12 likes

@MPictuss
"Mwanangu acha matusi nipewe. Juzi nimechagua kwenda kwenye harusi na wewe. Kinachofanya mpaka nikuone mzushi milele ulivyoanza kudance kushinda bwana arusi mwenyewe." --Confession of a mad teacher by Dizasta Vina
10 likes

@McinikaWaLamar
bonge la vibes
10 likes

@EmanuelSolo5
Jamaa anaonekana kalewa,ila mwili unabalance ya ziada 😂😂
8 likes

@Densa___
Huyo hajalewa huyo,yani ulewe usimame mguu mmoja?
7 likes

@mwazinde
Kwa mbali wataalam wa sauti tumemsikia uyo dada akisema geuka nyuma
7 likes

@gubeberu
Ameniwakirisha vyema haswaaa! Simdai tena
6 likes

@Msela_mpya
Hapo ndio ukute ndio Kaka wa Biharusi, huna cha kumwambia kitu hapo😀😀
6 likes

@bro_mselatz
Ukute kazamia au kachukua kadi ya maza ake
5 likes

@William_sanida
@GetVideoBot
4 likes

@OptimusAlpha27
@SingiziJr is that you bro?
4 likes

@NobelNelson
Wamemchanganyia tissue nini
4 likes

@Godchild__1
Ila pombe bhana🤣🤣🤣
4 likes
















