Mwanetu leo kaongea π πππΏ
@TwevePauLo36.913 Follower
51.107 Aufrufe
10 Kommentare
Kommentare aus dem Originalbeitrag auf X (Twitter)

@JulianaMbowe
Alifinyiwa kwa ndani akatoa Range n password za bank n kadi
7 Likes

@Kunde0
π€£ππππππ€£
6 Likes

@PHALTEND_
πππ nakuja na shoka, mniue au mnipe range
16 Likes

@TwevePauLo
@jmwaisemba_ π π π π
5 Likes

@SaleheDulla
Sema mwanaume kwadunia ya Sasa tunaonekana kama SI binadamu yaan yanayotokea Kwa mwanetu hizo dharau wanazomuoneshea lakin Bado utakuwa watu wanaona jamaa anamdhalilisha Kajala
11 Likes

@MGAAGAA_G7
Leo kaongea point sijui anatumia kinywaji gan icho
10 Likes

@Labash_impala
Lazima uwe upande wa konde boy wake wasee ni wapigajiππ
9 Likes

@alphaosward1
fatilieni kinywaji anachokunywa nahisi ni pepsiπ π
7 Likes

@Pollo_Dr
Leo kaongea Point mtu WA kigoma
6 Likes

@Chuma1nyundo1
Ivi Babalevo anajijuaga kwamba yeye comedy?! ππππ
5 Likes