Sensitive content

This media may contain sensitive content.

Loading video...

Video Failed to Load

Go Home

Proffesor Chris Peter Maina!! Apewe maua yake!!

38,883 views • 1 year ago •via X (Twitter)

10 Comments

Eric Forrest's profile picture
Eric Forrest1 year ago

Hupati kitu maana hakuna kitu due to spoilers

Godson Salema's profile picture
Godson Salema1 year ago

.Naked truth 📌📌

𝑴𝑪 𝑲𝑶𝑴𝑩𝑶's profile picture
𝑴𝑪 𝑲𝑶𝑴𝑩𝑶1 year ago

𝑱𝒂𝒋𝒊 𝒏𝒊 𝒎𝒃𝒂𝒚𝒂 𝒂𝒌𝒊𝒕𝒂𝒋𝒘𝒂 𝒕𝒖 𝒋𝒊𝒏𝒂😂😂𝑴𝒇.𝑭𝒆𝒍𝒆𝒔𝒉𝒊

Dunstan Dunstan's profile picture
Dunstan Dunstan1 year ago

Mzee WANGU nilikuwa namuelewa sana wakati wa kuchokoza mada mbali mbali ktk majukwaa mungu amtunze

Gemini♊️♊️'s profile picture
Gemini♊️♊️1 year ago

👍👍

buheri thomas's profile picture
buheri thomas1 year ago

Professor kwa maana yake haswa!

KasomaJr's profile picture
KasomaJr1 year ago

Asante sana Prof Maina, Mungu aendelee kukulinda sana.

Mr Duny's profile picture
Mr Duny1 year ago

Naam,

Lida's profile picture
Lida1 year ago

💐💐

FutureElon's profile picture
FutureElon1 year ago

Wakili Jebra kambole, ukiwa unaendelea kupambana kuwapigania vijana wanaoshikiliwa na jeshi la polisi kwa makosa mbalimbali hasa ukosoaji ni vyema basi ukatoa elimu kwa hawa vijana wakiwa wanakosoa wasitumie matusi hasa kwa viongozi wetu wa kitaifa, lazima maadili yazingatiwe.

Related Videos

Prof. Emeritus Chris Maina Peter alizungumzia ‘quality ya maamuzi’ ya Mahakama. Jaji Mkuu unataka Prof. Chris Maina apongeze Mahakama kwa 'quantity ya maamuzi' ambayo yanakuwa uploaded TANZLII. QUANTITY siyo QUALITY ya utoaji haki. Unaweza kuwa na QUANTITY ya maamuzi ya Mahakama lakini hayabebi taswira ya utoaji haki. Maamuzi yanapoteza QUALITY. Ndiyo HOJA ya Prof. Chris Maina. Huwezi kudogosha uwezo wa Prof. Emeritus Chris Maina Peter kwa kuwa tu hujapenda maoni yake. Unaweza kumchukia lakini maoni yake yatabaki kuwa ukweli ambao tunaona katika Mahakama zetu zote. Prof. Emeritus Chris Maina Peter alizungumzia ‘quality ya maamuzi’ ya Mahakama. Jaji Mkuu unataka Prof. Chris Maina apongeze Mahakama kwa 'quantity ya maamuzi' ambayo yanakuwa uploaded TanzLII. QUANTITY siyo QUALITY ya utoaji haki. Unaweza kuwa na QUANTITY ya maamuzi ya Mahakama TanzLII lakini hayabebi taswira ya utoaji haki. Maamuzi yanapoteza QUALITY. Ndiyo HOJA ya Prof. Chris Maina. Unaweza kuwa na maamuzi yanayojaza mabehewa yote SGR (quantity) lakini hayana ubora (quality). Maamuzi ya Mahakama kwa sasa yanaendeshwa na hisia za Serikali kuliko mizani ya utoaji haki. Ndiyo. TanzLII ni tovuti ya Serikali ya Tanzania inayochapisha maamuzi, sheria na kanuni. TanzLII inaruhusu ufikiaji bure wa maamuzi, sheria na kanuni. Pia, TanzLII ni mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya LIIs. Pia, huwezi kudogosha uwezo wa Prof. Emeritus Chris Maina Peter hata kama utamuita "yule mwananchi aliyekuwa analalamika". Heshima ya Prof. Chris Maina katika Jamii ni kubwa kuliko heshima yako. Prof. Emeritus Chris Maina Peter ni Mwanazuoni. Mwalimu wa Sheria Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Mwandishi wa kazi nyingi bora kama 'Independence of Judiciary in Tanzania; Many River to Cross' Jaji Mkuu, Prof. Ibrahim Hamis Juma, huwezi kuondoa heshima ya Prof. Emeritus Chris Maina Peter katika jamii ya Watanzania. Maoni yake kuhusu mfumo wa utoaji haki katika Mahakama TUTAISHI NAYO. Pata muda wako mzuri kabisa, sikiliza maoni ya Prof. Emeritus Chris Maina Peter halafu soma hicho kipeperushi cha Jaji Mkuu, Prof. Ibrahim Hamis Juma. Halafu linganisha nani anastahili kuwa Jaji Mkuu.

Martin Maranja Masese

24,681 views • 1 year ago