8 Comments
Comments from the original post on X (Twitter)

@bmtete69
Tatizo Ni Sisi Wananchi Na Wala Si CCM, Wananchi Lazima Kuamua Kutaka Mabadiliko Na Kuweka Uwoga Pembeni. CCM Inapambana Kwa Njia Yoyote Ile Ibaki Madarakani, Je Wananchi Mtapambana Kwa Njia Gani? Kwa Njia Ya Kura, Haki Au Demokrasia,Njia Zote Hizo Wamepiga Pini.🥺🥺
8 likes

@cast21926
MUNGU AKULINDE SANA. HAO WANAUA KILA ANAYEONGEA UKWELI
2 likes

@Honey_0_Badger
HUYU MWAMBA KAONGEA UKWELI..!
1 like

@Magandula
Bashiru na H Polepole Wana uwezo mkubwa wa kiutendaji hasa kubadili MIFUMO ...mmoja wamemtowesha ...Bashiru ameamua kuwa kondoo na anatumia akili ndogo ya ccm ya Sasa
1 like

@WHenry96130
Absolutely 💯.
1 like

@WaridaYahaya
Kila siku wanasema hivi hivi ila mi naona maisha yaendelea .nahisi kwao ndo Kuna mkwamo

@hussen_mbaga
Ukweli mtupu

@ErnestNyamagan4
Akili haitekwi
