Загрузка видео...
Не удалось загрузить видео
😂😂😂😂😂SIO POA
22,311 просмотров • 2 месяцев назад •via X (Twitter)
Комментарии: 14

Mtu kauliza swali zuri angalia mbumbumbu anavyojibu

Unaulizwa swali unamkejeli mtu

Gerishoni hakosagi jibu hata kama jibu lake ni la hovyo

Msigwa nadhani uelewa wake huwa ni finyu mno namna ya kujibu maswali hajui

Majibu mepesi kwenye maswali magumu. Ndo maana viongozi wa Africa huwa wanapata tabu sana wakihojiwa na wandishi wa Habari toka nje.

Msingwa katika moja mbili tatu zake,za mzee pwagu 😂

Ila inlai wa inla ilai

Mwandishi kauliza swali zuri sana ila shida ni ameuliza kwa nani?

Somesheni watoto kwa bidii ili kuepuka aibu ndogondogo kama hizi

@hassmantozzi @KajerryNgereja

Amejibu kama AI

Mc-gwa bhana

Mzee wa ufafanuzi. 😂

kijana mdogo msigwa amejaa damu za ndugu zetu…, Ee Mwenyezi Mungu fanya miujiza
