Video yükleniyor...

Video Yüklenemedi

Ana Sayfaya Dön

#ToneTone Musoma Mjini.

56,798 görüntüleme • 1 yıl önce •via X (Twitter)

11 Yorum

Colebenny_palmer profil fotoğrafı
Colebenny_palmer1 yıl önce

Kuna raia anasikika hapo anasema LETA JABA, watanzania wote ni chadema aise

Solar Heavy profil fotoğrafı
Solar Heavy1 yıl önce

take the journey

jumong profil fotoğrafı
jumong1 yıl önce

Au chadema wanatembea na wasanii kisiri Siri 🤔🤔🤔

BOB profil fotoğrafı
BOB1 yıl önce

Sadaka ya ukombozi tuendelee kuchangia tone tone

Dr. Meku 🇿🇼 profil fotoğrafı
Dr. Meku 🇿🇼1 yıl önce

Yanga baada ya kipindi cha bakuli, ilikuja juu hadi sasa ni tishio hadi madunduka walikimbia mechi. Sijui nilitaka kusema nini, ila mpitisha bakuli asidharauliwe 😅,

Jonwalker🇦🇮 profil fotoğrafı
Jonwalker🇦🇮1 yıl önce

Ichi wanachofanya chadema kina nguvu sana …imani ya mtu inajengwa kwa anachokitoaa na ndio maana halisi ya chama cha wananchi

mjukuu🇧🇪 profil fotoğrafı
mjukuu🇧🇪1 yıl önce

Sadaka watu wanaitoa kwa moyo Kwel Kwel

Erasto Lashau profil fotoğrafı
Erasto Lashau1 yıl önce

kwa moyo wote

Aggrey Mwashadema profil fotoğrafı
Aggrey Mwashadema1 yıl önce

@Sativa255 Hii ndio chadema eti wanasema chadema itakufa watakufa wao wataiacha

musiCourt profil fotoğrafı
musiCourt1 yıl önce

"Chadema Ndio Tumaini la Wananchi Wazalendo"

Othuman Hamis profil fotoğrafı
Othuman Hamis1 yıl önce

Hv CCM wanajisikiaje kuona wananchi ndio wanakiendesha chama cha chadema wakat wao wanahonga kuhamisha watu chadema😆😆😂😂

Benzer Videolar