Loading video...
Video Failed to Load
Tusikilize hapa kwa makini…!
52,012 views • 1 year ago •via X (Twitter)
10 Comments

Haongatz1 year ago
Akipewa madaraka utamkataa

Socius Nullius1 year ago
Huyo madaraka hafai ni maneno tu ndio mazuri

MIRIAM💜1 year ago
Fact kabisa

Mshama Tz1 year ago
Yuko wapi kwasaaa ? Wahuni waliwahi kuingia nyumbani kwake Bahati nzuri hakuwepo

Socius Nullius1 year ago
Cuba

BIH20241 year ago
Wakazi wa Dar ndio zao, ila kufwatilia udaku ndio wanajua na ndio maana Mimi siku hizi sitaki mambo ya kutoa michango, kuanzia kwenye shida hata Raha. Kila mtu afe kivyake

Idd Jong1 year ago
Ukiwa hivyo bas utakua upo mbioni kufupisha maisha yako kwakujitakia

G-Zazi11 year ago
Tukiwafwatilia wanatuteka sasa si bola nikabeti tu.

BekaBOY 0.11 year ago
Mashoga wanasema mimi siasa sio vitu vyangu 😂😂💔

Lamodoo1 year ago
Labda Nchi jirani ila sio Tanzania.
