Loading video...
Video Failed to Load
TUTAKUWEPO🫵🏾😎
99,454 views • 1 year ago •via X (Twitter)
11 Comments

kipulilo1 year ago
Yani hapo anatakiwa kurudisha million 11 ndani ya miezi minne Bado ni kausha damu😁😁😁

Solar Heavy1 year ago
take the journey

XF-28211 year ago
@Thebig_07 Kaka uwe mpole tuko kutakatisha fedha👀👀👀👀👀👀👀👀

#MANHEKMAN⛱1 year ago
Uislam umepiga marufuku riba hata iwe ndogo na hapa watu wote hata wakristo mmemuonea huruma huyu kwa kuwa riba ni kubwa ila ingekuwa ndogo msingesema ni dhahir riba haifai katika jamii na serikali iweke sheria juu ya RIBA

APT0🏷1 year ago
Hesabu kama mavii

Drama1 year ago
10M baada ya miez 4 ina anza kuzaa riba ya 1M

TANZANIA BUSES DAILY 🇹🇿 1 year ago
😂😂😂

T 🅰️ N Z 🅰️ G I Z 🅰️1 year ago
4 month anarudisha na 11m, tutakuwepo

luké Λουκάς1 year ago
Mmh! Ayo mahesabuu ganii, upuuz kwel kwel

tosa1 year ago
mmh hesabu za kiwaki hizi ndan ya miezi mi4 ataitoa wapi 11M

Magulati 041 year ago
Kuna aliemuelewa afisa mikopo
