正在加载视频...

视频加载失败

Ujumbe muhimu sana na kweli.

47,496 次观看 • 3 年前 •via X (Twitter)

10 条评论

Elibahati Mamuya 的头像
Elibahati Mamuya3 年前

Kweli kabisa.., Kuna kampuni moja nilikua nafanya kazi yaani ukienda ofisini unaanbiwa kaa hapo boss kasema subiri. Muda unaenda, hadi saa za kazi zinaisha unaambiwa nenda urudi kesho. Cheque iko hapo kukusainia labda uliamshe.., Ni balaa. Hakika nitakua chachu ya mabadiliko!!

公式:ちぃたん☆広島 的头像
公式:ちぃたん☆広島2 年前

Would you like to join Chiitan in the Avengers?

Tanzania Abroad TV 的头像
Tanzania Abroad TV3 年前

Hakika kabisa

Voter 的头像
Voter3 年前

Noticing the problem is the first step toward solving it!

Rebecca Mwankenja 的头像
Rebecca Mwankenja3 年前

Kuna ile ofisi ya ku register ndoa, jamani pale pameozaaaaa, wadada wanaringa wale. Muda wa kazi wanaongea na sim, na wateja tumejazana ka chumba kadogooo, tunatia hurumaaa.

Juma Zidikheri 🇹🇿 的头像
Juma Zidikheri 🇹🇿3 年前

Ujumbe wa busara sana! TZ kila mahala kumejaa hayo majitu, ukienda kwenye usajili utakutana nao, NIDA utakutana nao, Uhamiaji (passport) utakutana nao, TRA na Polisi ndio mbaya zaidi...!

Suleiman Bajambo 的头像
Suleiman Bajambo3 年前

Yaani,ni Akili sana,Busara na Hekima kweli kweli,bahati mbaya,wenye kuokota Fursa nchi hii ya kutawala,ni ngumu sana kuelewa somo

Livingstone 的头像
Livingstone3 年前

Watu wa hivi wapo wachache sana tz

Diana Yvonne 的头像
Diana Yvonne3 年前

@Savevidnow

kasimu Shomari 的头像
kasimu Shomari3 年前

Mchungaji MUNGU akibariki sana

相关视频