Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
UJUMBE UFIKE MBALI.
24,453 görüntüleme • 1 yıl önce •via X (Twitter)
10 Yorum

Rehema Mugogo1 yıl önce
Huyo dogo @AdvMahinyila anajua kuyarudi kinoma! Na huyo wa mwisho kabisa mwenye miwani na kofia nyekundu nae anayarudi! Sasa we mdogo wangu @Twaha_Mwaipaya mbona umeniangusha Dadako yaani unashindwa kabisa kucheza kama Kaka @godbless_lema wakati wewe bado Kijana kabisa aiseeee😳

Twaha Mwaipaya1 yıl önce
@AdvMahinyila @godbless_lema Niache ninahuzuni 😢

Godfrey lyimo1 yıl önce
Best music message we cry and God will put faith BTN us.

poz wa chaka1 yıl önce
Lema anayarudi kinyamwez sana

Mhana1 yıl önce
Hii naicopy

Mabusho1 yıl önce
Ujumbe mzuri Sana,Nan ameimba huu wimbo

Christian Christian1 yıl önce
Very sad

Mike 🦂1 yıl önce
Deep

Acleus1 yıl önce
Eti Mbowe amechaguliwa kugombea urais chadema?

Jitaman1 yıl önce
Jina la wimbo please
