Skip navigation
Ukute tunapigwa!! ๐Ÿ˜ณ
0:00 / 2:09

Ukute tunapigwa!! ๐Ÿ˜ณ

Masaki

@selemasaki66K followers

Visit on X
202 likesDownloadOriginal post

11,772 views

Ukute tunapigwa!! ๐Ÿ˜ณ

14 Comments

Comments from the original post on X (Twitter)

  • mwinuse's profile picture

    @jaymaabadi

    Wanyonge mnapigwa sana mtu miezi 6 baada ndo anahama kama sababu sio kukata tamaa ya teuzi nnini!

    2 likes

  • ๐“ค๐“ค๐“‡Œ Daijล ๐“€ท๐“‹˜๐“‹™๐“ฟ๐“‚€ Daijin ๐ŸŒŒ ๐“ฟ๐“‹™'s profile picture

    @dumelambegu_OG

    Huyo mzee Ni papai nakujua kivip. Kwa miaka mingapi alikua mpinzani. Hili zee Si likavue samaki

    2 likes

  • MimiPekee's profile picture

    @MakalaSimuzi

    Kwenye upande wa hoja @chiefodemba hutamkalisha Msigwa mana hua ni mwanasiasa anayejua kunyumbulika sana๐Ÿ˜ƒ. Msigwa yuko sahihi kwenye majibu yake.

    2 likes

  • Dinkum's profile picture

    @dinkum2020

    Hata hivyo, hayo ni maigizo tu. Don't trust that man.

    1 like

  • Ras,nchimbi's profile picture

    @NchimbiRas

    @mackphason Maanake mchungaji alishawapoteza wana kondoo.

    1 like

  • Mwana Wa Adam's profile picture

    @Ymejja

    Sio ukute ni kweli woote hawa at kina mpina ni next project ya kulainisha maridhiano

    1 like

  • The 6th Estate's profile picture

    @Oraibtz

    Muongo

    1 like

  • Bahati's profile picture

    @Bahati778571

    Daaadeki! Msigwa hakuona ouvu kuanzia Ben, Azory Soka Mzee Kibao list inaendelea da! Halafu ni Mchungaji.

    1 like

  • jr's profile picture

    @martin159022790

    huyu nae msenge kama wasenge wengin hana tofaut na chauma, miaka yote upo chadema kipi hukujua kuhus ccm, mizee kama hii ndoimechochea mpaka tumefik hapa halaf Kila siku ipo kanisani na miaikitin yaan duh umekosa teuz unaanz kutuletea usenge wako saiz kafie mbele huko

    1 like

  • MtataProMax's profile picture

    @MtataProMax

    Ogopa mtu anayetumia tumbo kufikiria.

    1 like

  • Deetronics freeTAL's profile picture

    @Deeplanet1

    Uyu mi sitomuamini tena

  • Johnson business's profile picture

    @Johnsonmrck

    Mwanaume hajui wapi pakushika.,

  • โ—‡'s profile picture

    @Mrisho_K

    Kitu muhimu hapa ni mwanaume kuwa na msimamo!!

  • Amos Benard Kongoche's profile picture

    @AmosKongoche

    Msigwa ni wa hovyo kabisa