正在加载视频...
视频加载失败
Ukweli Mchungu
45,732 次观看 • 2 天前 •via X (Twitter)
31 条评论

Hizi ni propaganda za kuiangusha chadema

Wanajiangusha wenyewe

Kiuhalisia ni kwamba Chadema ni chama dhaifu, ni chama ambacho kinatumika kama means ya kukupa relevance ili badae uende kufanikisha ndoto zako, utakosoa sio kwasababu unaamini unacho kiongea bali unataka watu wafike bei.CCM remains a prominent and trustworthy party in Tanzania.

Embu ccm wapitie wanayopitia CHADEMA hata wiki kama hawatarudi tumboni mwa mama zao wote,huko ccm waliondoka PM 2 kwahiyo bado hakuna hoja,mweke Samia jela masaa 24 tu ataasi hadi jina lake.

@Georgen_tz Tunatakiwa tutoke huko kwenye siasa za kuabudu vyama. Vyama vya siasa vibaki tu kama platforms za watu kuwasilisha na kutetea hoja zao mbele ya wananchi. Ikiwezekana, tuwe hata na wagombea huru. Huo ndio utakuwa ukomavu wa demokrasia.

Chadema wapo na misimamo sana nafikiri kama tungekuwa na vyombo thabiti vya kupambana na rushwa mchawi wa Chadema angejulikana asubuhi na mapema imekuwa tishio kwa watawala ndio maana wanapambana kila kukicha kuisambaratisha

Hali ya chadema ni hali sawa na watanzania wengi kama sio wote. Wote tumeshikwa pabaya, kama sio hongo basi vitisho na matukio ya kutisha vitakuhusu.

We kuma nina nini?, au unatafuta uteuzi. Hii sio issue ya chama ni issue ya individual, na km ilivyo watu wengi wanaendeshwa na tumbo wakijiona wananguvu, wanasahau kwamba heshima na nguvu hiyo tunawap sisi wananchi tuikona watu hao wako na sisi, tukiamua kuichukua hiyo nguvu

Huyu kijan watamtukana mno Wacha tuone

Wasaliti wote wanatokea Kaskazini 😁😁😁

Huo ukweli uko wapi hapo wakati police ccm inawatishia na kuwauwa kila siku. Wekeni HAKI tuchague viongozi tunaotaka

Kweli kabisa 1. Wataongozwa na MIHEMKO ya WANAHARAKATI 2. WATAONGOZWA NA UDINI hasa KATOLIKI 3. WEZI HAWA hawapendi KUPEKULIWA 4. UKABILA UMEWAJAA kwa sasa tu wanasema hawako tayari kuongozwa na Wazanzibar

Ata kule fisiem wapo wasrit kibao tu sema wanawaminya kmy kmy akuna seem y watu wengi kukakosa msarit acha kupotosha watu

Raisi wachama yuko jela kwa tuhuma za uhaini na huyo ndio alipaswa kukiongoza chama, keep feeding your brain with Ukweli Mchungu.

2illim yupo sahihi maana unakuta sisi wengine hatuna chama ila tukisikia sera za viongozi wachadema unakuta zina mashiko but mwsho wasiku waanaanza kuongea mambo yaajabu kabisa

wachumia tumbo sasa

Hawa waliopo wanaweza?

nani hua anagawa nchii

@sukununu01 Na ndio ilivyo wote wasaliti

Wanaharakati hawafai

Uwezo wako mdogo kuwaza sana haya mambo kijana Unapopigana na mamlaka huku umefungwa mikono ndo matokeo yake na si vingine Lazma watu wakaze tuu na wapo ambao watapuputika ila kaza hadi mwisho hadi ile cream ipatikane Ushishangae Martin B yai etc nao wakasepa

Hao mlio wapatia nchi wao mnaona wanaweza kujiongoza

Zero

Hajui kama chadema ni chama cha demokrasia na maendeleo

Kwa hiyo wawaamini watekaji na wauwaji,hadi wewe umenunuliwa shame on you

Nchi inaongozwa na Sheria, Na Katiba na sio akili za watu. Ndiyo maana leo atakuwa Waziri, kesho atatenguliwa. Hoja ya usaliti kwamba watu wanahama sio hoja. Ccm inaongoza nchi kwa matakwa ya mtu mmoja na kujenga utamaduni huo, ndiyo maana mnadhani uongozi ni utashi wa mtu

Issue ni njaaa,, hata ccm ingekuwa na njaaa usaliti ungekuwepo

Wewe Mjinga Nani amekutuma wewe subiri utekwe ccm wakutetee acha ujinga ndugu yangu kuna kesho

Hawa ni wachambuzi au makada Shithole wa CCM?!

Kuna udhaifunwa kujua wasaliti ila zaidi kuchukua hatua hata wanapojulikana.

Idea ya kupeana nchi ni matokeo ya CCM kujimilikisha nchi. Hatuwezi kuvuka hapa ikiwa tunawaza kwamba nchi ni ya kupeana.
相关视频
Maaskofu wanamchukia Mchungaji Kimaro kwasababu anasema ukweli mchungu.
Hilda Newton
94,709 次观看 • 3 年前
Farhan kaongea ukweli mchungu kuhusu tofauti ya Watanganyika na Wazenji.
Uncle Fafi
99,782 次观看 • 3 个月前
