Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Unajifunza nini?
122,529 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)
12 Kommentare

Joe Gery Ishe Jr.vor 1 Jahr
Ndoa nazo kama gari zinahitaji kupelekwa gereji kufanyiwa service...😊

Solar Heavyvor 1 Jahr
that's interesting, but what do you think of this?

RUGGED ROGERvor 1 Jahr
Hii uiongeze kwenye package yako ya ugali watu wawe wanakuja na wenza wao pia kuwe na mshauri wa mambo ya kifamilia maana kwa mambo yanayoendelea mtaani ndoa nyingi sio stable.

Lucas E. Malembovor 1 Jahr
😁😁😁😁😁😁

PRESS RESISTANCE 🪵vor 1 Jahr
Kuna muda ndoa inakuwa battery low😂😂

Lucas E. Malembovor 1 Jahr
😁😁😁😁

Msafiri, Erick Charlesvor 1 Jahr
Kwani we hutamani? Namuomba MUNGU akubarikie na kukufadhili! 🙏😁

Lucas E. Malembovor 1 Jahr
Kilimo kinalipa😁

Mallevor 1 Jahr
Ndoa ni Njema sana.

Lucas E. Malembovor 1 Jahr
Kabisa

Christian Bwayavor 1 Jahr
Nimemwona mtu kama @Udadisi ‘akirichaji’ au sijaweka vizuri miwani yangu? 🤣

Lucas E. Malembovor 1 Jahr
@Udadisi 😁😁😁 wapi?

