Загрузка видео...

Не удалось загрузить видео

На главную

Video hii hapa

222,987 просмотров • 10 месяцев назад •via X (Twitter)

Комментарии: 33

Фото профиля TotoKONDE
TotoKONDE10 месяцев назад

huyu ni mtu anatumia dini kuhamasisha mauaji ya kimbali, hakuna mamlaka iliyokemea, bakwata hawajakemea, then kuna gwajima aliongelea utekaji akafungiwa kanisa

Фото профиля Emmanuel Matiku
Emmanuel Matiku10 месяцев назад

Tusubiri kama hizi kauli zitachunguzwa, kwa maana kama hawatanii basi watatuchinja kweli Kwa maana Na sisi Gen Z kama kuna jambo ambalo tunaweza kuwaambia hadharani bila woga ni kuwa tutaandamana mpaka pale vilio vyetu vitakaposikika TENA WALA WASIFIKIRI TUNATANIA,TUTAHANDAMANA

Фото профиля Al haj Aliakber
Al haj Aliakber10 месяцев назад

Tungepata Details za huyu mpumbavu ingekua vizuri sanaa. Maana nazani mimi ningekua wa kwanza kwenda huo msikiti wake ili nikaone anatoa mawaidha kweli kwa watu na wanamsikiliza au ameropoka tu,Na kama wanamsikiliza nipo tayari nimpinge mbele ya waumini.

Фото профиля Malkia Nyuki 👑
Malkia Nyuki 👑10 месяцев назад

Kabisa yani 🙌

Фото профиля Malaika
Malaika10 месяцев назад

Sheria za kutishia Maisha ya watu siku hizi zinafanya kazi kwa baadhi tu ya watu,wengine kutishia maisha ni ruksa

Фото профиля GOTI Chuga.
GOTI Chuga.10 месяцев назад

"Tuna wasubiri wafike misikitini watueleze nani kawatuma."

Фото профиля Kuts
Kuts10 месяцев назад

In a sane country this idiot would have been arrested and arraigned for insightment. Tanzania is really fucked up! You don’t want to turn political differences into a religious fight.

Фото профиля #NobodyCanStopReggae
#NobodyCanStopReggae10 месяцев назад

Samia-bint-el-Saitan Must Go #SamiaMustGo #SuluhuMustGo #TanzaniaMassacre

Фото профиля Mrigo Matone
Mrigo Matone10 месяцев назад

Kweri tena

Фото профиля CHOLLO
CHOLLO10 месяцев назад

Kuna agenda tusiyoijua ipo nyuma ya pazia,nadhani.

Фото профиля Cliff Lyungu
Cliff Lyungu10 месяцев назад

This are terrorist masquerading to be men of God,They think they know how to carry weapons than the other,the ones destroying the name of Islam us an Africans we're not going to allow such 🐖🐖🐖 to divide us in the name of religion

Фото профиля NABOSI
NABOSI10 месяцев назад

Huu Sasa ndio uhaini, samia anaipeleka hii nchi kubaya sana, yani huyu mkundu kaongea ivo kwa kua anajua rais ni muislamu na ndio kawatuma waongee ujinga, tofauti ya mavi 💩 na akili za huyu bwana na za @SuluhuSamia ni joto tu. Tanzania inaelekea kubaya sana na watu wanaangalia2

Фото профиля D⚓
D⚓10 месяцев назад

Kilicho mpata mwenzake kwa jirani alipoanza ujiga.

Фото профиля Kimaro🇹🇿
Kimaro🇹🇿10 месяцев назад

Mashekh wetu ni maskini sana hapo unakuta wameandaliwa pilau la maana na vipotabo vya coka cola

Фото профиля WINGA MJANJA
WINGA MJANJA10 месяцев назад

Tare 9 tutaenda kumsalimia asijifiche

Фото профиля Leshao Lontubu
Leshao Lontubu10 месяцев назад

Keep the video as evidence against this idiot in case it’s needed by icc for incitement

Фото профиля Alipipi Mwaisaka
Alipipi Mwaisaka10 месяцев назад

Maandamano ni ya amani shehe lkn tutakupokea utavyokuja

Фото профиля Chris
Chris10 месяцев назад

You know what Kenya did to radical preachers like this....cut off the head of the snake before it bites innocent people.

Фото профиля Jonathan Zorilla JnR
Jonathan Zorilla JnR10 месяцев назад

Huyu jamaa kaongea vitu vya hatari sana alitakiwa kukamatwa

Фото профиля KAJAJO
KAJAJO10 месяцев назад

TUTAWABATIZA KWA DAMU YA YESU KRISTO WAISLAM WOTE

Фото профиля joseph kimonyi
joseph kimonyi10 месяцев назад

Rais Julius Nyerere waliwataadhari watanzania kuhusu madhara ya "Udini".

Фото профиля MARY_BROKER📈📊
MARY_BROKER📈📊10 месяцев назад

Ni vichwa gan ivo wanavyotaka kuvikata

Фото профиля Hazard
Hazard10 месяцев назад

Hawa Saizi Hacheni Kutrendisha Hizi Video Zao Hakuna Kushare Popote Mahana Wanasema Haya Kwa Maslahi Ya Mwanasiasa Kumbukeni Wameua Watu Hili Wachukue Inchi Sasa Fikilia Kipi Kitawashinda Kufanya

Фото профиля Mwafrika mzalendo 🇰🇪🇺🇬🇹🇿🇿🇦🇳🇬🇺🇸
Mwafrika mzalendo 🇰🇪🇺🇬🇹🇿🇿🇦🇳🇬🇺🇸10 месяцев назад

Michezo hatari kama hii ya kutangaza vita na wananchi hata wale vijana wa kijani wanaogopa kujitosa inabidi waje hawa mafala mashehe ubwawa wa kulipwa ndio wachimbe mkwara mbuzi😅😅

Фото профиля AIKOMAN ☠️
AIKOMAN ☠️10 месяцев назад

Kitimoto Huleta Akili🧠

Фото профиля Japhet
Japhet10 месяцев назад

Ndugu zangu waislam "Bwana Yesu asifiwe" na kwa wenzagu wakristo "Aslam aley'kum"

Фото профиля Isaya Francis
Isaya Francis10 месяцев назад

Mtu kama hiyu husikii msikiti umefungwa au kufutiwa usajili kabisa ila anaekemea utekaji anafutiwa usajili wa kanisa hapa kuna kitu hakipo sawa.

Фото профиля Antelm Barack
Antelm Barack10 месяцев назад

Mi najiuliza tu, kwani kuandamana kunahusiana nini na uhislamu mpaka hawa viongozi watoke na matamko makali hivi dhidi ya wanaetaka kuandamana?

Фото профиля 🇪‌🇲‌🇲‌🇦‌_2️⃣8️⃣_🇸‌🇮‌🇽‌🇹🇿
🇪‌🇲‌🇲‌🇦‌_2️⃣8️⃣_🇸‌🇮‌🇽‌🇹🇿10 месяцев назад

apo kapewa uwakika wa vitumbua ma chai ya rangi + Pilau kingine Gwajima alikemea mauwaji na utekaji akafungiwa makanisa alf uyu kibakuli kahalalisha mauwaji tena mbele ya waandishi ila hamna tamko Funking stupid

Фото профиля Israel Yanga
Israel Yanga10 месяцев назад

Mpaka Sasa hajaitwa kuhojiwa ila wako busy kunyakuwa Viongozi wa CDM kila uchwao yaani tulipofika hatari Sana Kagame anatucheck kwa mbali na anachekelea Sana tunajifanya wajuaji Sana Sasa zamu yetu hawa Viongozi wao nikulaumu upinzani kundi dogo

Фото профиля Se kemosabe
Se kemosabe10 месяцев назад

Hili zoba kwanini mnalipa airtime si lingepuunzwa tu?? Ni lipumbavu halipaswi kuendelea kulisikiliza.

Фото профиля NACHAMBA KWA GUNZI
NACHAMBA KWA GUNZI10 месяцев назад

😄😄sasa Waislamu wakisema wakatane vichwa na wakristo by numbers si Waislamu wataisha kabisa

Фото профиля Ernest bigboy
Ernest bigboy10 месяцев назад

Alipata msosi lakini?

Похожие видео