Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Vipi tena Mamba?
17,375 görüntüleme • 27 gün önce •via X (Twitter)
13 Yorum

Attacking Midfielder27 gün önce
Chakula ya wakubwa ile

Nguli Kavu27 gün önce
😂😂😂 hakuna kuomba msamaha hapa. Naomba nisamehe na endelea kulinda mgongo wako

prodsamah27 gün önce
mganga karudisha kuku 😅

cultureman25327 gün önce
Ashaanza kuwa mjusi

🦁𝐁 𝐈 𝐇 𝐄 𝐌 𝐎 ™27 gün önce
Kafeli snaa

The Crow26 gün önce
Hana noma, siku zote ndo anapozaga ivo ivo afu anarudi tena kwa kasi, ni kama ama buy time. Hii itamsaidia kuendesha harakati kwa muda mrefu zaidi.

Ottra27 gün önce
Wote wilio kwenye kampen hii ni mknd wananuk mv washazoea kflwa

Ottra27 gün önce
Ulikuwa ni mpango wao wa kupiga pesa kwa manyumbu

Sama Gallya27 gün önce
Dimpozi kashagawa kwa wenye mamlaka

WORLD CITIZEN.27 gün önce
Maelekezo toka juuu hayaa

.27 gün önce
Kaniboa

Rama Mobile Hub27 gün önce
Hatari

Dicky Walker27 gün önce
Hii njemba sio nzima kabisaa, fuse zimekata kwenye medula oblangata au moto unawaka mwilini!!😂🤣
Benzer Videolar
0:29
Sensitive content
Men hapa vipi..????
ROSALINE🦋
22,240 görüntüleme • 4 gün önce
