Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
K.O vipi tena jamani!
60,281 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)
10 Kommentare

La Haula!vor 1 Jahr
Mwili huwa una tabia mbaya sana 😂

Maviatu 👞👟🥾🛍️🛒vor 1 Jahr
Aliwaambia watu lazima wacheze ukumbini afungwe.

Samatime Car Dealers Co Ltdvor 1 Jahr
Kikubwa mwili una move

Gabbar singhvor 1 Jahr
huyu Bora angecheza ki moyo moyo tu😂😂

Brother.Bernard😎vor 1 Jahr
Walimwambia achangamke😂

bobvor 1 Jahr
Naomba kujua kama anamatatizo kabla sijamjudge

Given Edwardvor 1 Jahr
Dada wa benki?

Digital Migrantvor 1 Jahr
Una utani naye?

✖‿✖vor 1 Jahr
😂confidence 👍🏽

marrybernadivor 1 Jahr
Mamabo ya aibu haya😂😂😂
