5 Comments
Comments from the original post on X (Twitter)

@Rydx_017
Kumekuwa na Maneno ya watu, Wakisema kuwa Mr. Nice kafirisika, Haya ndio majibu yake kuhusu maneno yao.. Video kwa Comments π
923 likes

@AbrahamMwanken4
Naona jamaa anajifanya mkenya kabisaππ
1 like

@_Flammabl3
naona pete la firimasoniiiiiπππ

@GilyaSamwel
@NduluSamwel freemason ring

@junior_malima
Kwahyo kiswahili kinampa shida et?