
Sammy Awami
@awamisammy • 22,410 subscribers
Father | Son | Journalist | Citizen.
Shorts
Videos

Lissu ameanza rasmi maisha ya gerezani. Namba yake ya Ufungwa ni 623/2026
Sammy Awami22,432 görüntüleme • 6 gün önce

(Possible) sababu ICC kumpiku Lissu tuzo ya Bunge la Ulaya.
Sammy Awami19,007 görüntüleme • 25 gün önce

Katika makala hii, nimejaribu kujenga hoja kadhaa juu ya kilichotokea wiki ya uchaguzi na kinachotukabili kama nchi; 1) Si cha kipekee kwa Tanzania tu. 2) Si kweli kwamba kimesababishwa na wapinzani na wanaharakati. 3) Si kweli kwamba vijana walilipwa kwenda kuandamana. 4) Vijana wana mahitaji ya dhati na ya msingi lakini hawaoni kwamba kuna mtu ana nią ya dhati ya kuyatatua. 5) Hichi ni kizazi cha tofauti; kinajua kinachotaka, na kina ujasiri wa kukidai kutoka kwa serikali/viongozi/watawala, ikibidi hata kwa njia zisizo za kawaida.
Sammy Awami28,947 görüntüleme • 11 ay önce

Tatizo tunalo, lakini tatizo letu kubwa zaidi ni KUFICHA tatizo tulilonalo!
Sammy Awami22,683 görüntüleme • 1 yıl önce

Ukiskia neno 'serikali' unaweza kudhani kwamba wanajua kila kitu wanachokifanya. Kumbe.....
Sammy Awami12,911 görüntüleme • 7 ay önce

Leo nimepata ugeni ambao umenifurahisha na kunitia moyo saana 😄
Sammy Awami18,146 görüntüleme • 1 yıl önce
Daha fazla içerik yok.