
Sammy Awami
@awamisammy • 22,209 subscribers
Father | Son | Journalist | Citizen.
Shorts
Videos

Katika makala hii, nimejaribu kujenga hoja kadhaa juu ya kilichotokea wiki ya uchaguzi na kinachotukabili kama nchi; 1) Si cha kipekee kwa Tanzania tu. 2) Si kweli kwamba kimesababishwa na wapinzani na wanaharakati. 3) Si kweli kwamba vijana walilipwa kwenda kuandamana. 4) Vijana wana mahitaji ya dhati na ya msingi lakini hawaoni kwamba kuna mtu ana nią ya dhati ya kuyatatua. 5) Hichi ni kizazi cha tofauti; kinajua kinachotaka, na kina ujasiri wa kukidai kutoka kwa serikali/viongozi/watawala, ikibidi hata kwa njia zisizo za kawaida.
Sammy Awami27,988 次观看 • 6 个月前
没有更多内容可加载