fatma karume aka Shangazi's banner
fatma karume aka Shangazi's profile picture

fatma karume aka Shangazi

@fatma_karume1,197,330 subscribers

Who’s to blame if repression remains? We are. Who can break its thrall? We can. Whoever has been beaten down must rise to his feet! Whoever is lost must fight

Shorts

Wewe imba wimbo unaotaka, lakini nitakukumbusha maana hio ngazi ulioipanda imekutoa kumbukumbu. ZNZ kulifika wakati ASKARI POLISI hawavai sare wakitoka na kurudi nyumbani. Wanazibeba kwenye mifuko ya RAMBO! Wanasiasa kama wawe wanalindwa na ving’ora. Polisi wanapanda DALADALA!

96,770 Aufrufe

Jenista Mhagama ni waziri. Kaweka STANDARD. Eti tugaregare kwenye vumbi! 😂😂😂 Wamanyema hatuna mila hizo.

56,754 Aufrufe

Huyu anachochea watu wauliwe. Anaachwa kwa sababu hao anaochochea wauwawe ni mashoga. Je tunataka kuwa na Nchi inayokubali maandamano ya kuchochea UUWAJI? Nilisema haya mambo Serikali ikianza kuyachochea, itashindwa kuzima moto. Endeleani tu.

63,458 Aufrufe

Videos

fatma_karume's profile picture

Jumaa Mubarak.

fatma karume aka Shangazi

68,401 Aufrufe • vor 1 Jahr