
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸
@mangekimambi • 445,978 subscribers
DADA WA TAIFA (ACTIVIST) Scroll to Nov 1 2025 for videos of TANZANIA’s ELECTION MASSACRE. Download Mange Kimambi app to support my work.WhatsApp +1 424-537-3057
Shorts
Videos

Watanzania hali ni tete. Pole sana Tundu Antiphas Lissu
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸214,080 görüntüleme • 1 gün önce

Video ya mwisho, I promise…. NAWAPENDA MNOOO WATANZANIA
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸157,681 görüntüleme • 3 gün önce

Leo natamani hata kufanya video 10 kuwashukuru Watanzania jinsi wamejua kuiheshimisha movement…. Yani ukiondoa zile bodaboda za kulipia na zile gari za kina Bashite yawezekana siku ya leo John Heche alikuwa na nyomi kubwa zaidi kule Moshi Mjini kuliko event iliyofadhiliwa na serikali haram, mabilioni ya pesa kumwagwa na ma influencer haram wa instagram kubeba shughuli. Pumbav walidhani kujaziana mi comment ya maboti wa CCM kwenye social media ni influence ya ukweli…… Watu wanataka haki bwana….. Leo naingia kulala moyo mweupeeeeee….. Nikiamka tunaendelea na mapambano but for now lets celebrate serikali haram na ma influencer haram kushindwa kupunguza nguvu ya wananchi kudai haki.
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸82,304 görüntüleme • 3 gün önce

I hope tumejifunza kitu leo kwenye hii issue ya Miss Grand. Mmefanyishwa kampeni, Mwisho wa siku kampeni inatumika kumsafisha muuaji wa Watanganyika……. Tunapowaambia hawa watu wanatumika na wauaji kuwatoa kwenye focus muwe mnaelewa…….. Msikubali kutumika kama condom
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸183,056 görüntüleme • 10 gün önce

Let’s effin’ go…… Wauwaji wanahangaika kujaza UVCCM airport ila wananchi huku wanadai haki… Hii ni leo Moshi Mjini…. Kwa wanaharakati mnaotaka kuwakatia tamaa watu milioni 70 sababu ya upumbavu wa watu ambao idadi yao haifiki hata wananchi elfu 10 tena machawa wa UVCCM na mabodaboda ya kulipwa nawaomba msi entertain that thought. Seriously kuna mtu kahesabu hata watu elfu 6 kwenye upumbavu wao leo uliosimamiwa na kuratibiwa na serikali haram? Sasa kumbuka Dar es Salaam ina wananchi milioni 8. Sasa wanaharakati tuwasuse wananchi milioni 8 kisa machawa elfu 5??? Watanzania wameamka na watapambana, hata wauwaji na machawa wao wenye platform kubwa kwenye social medial wafanye nini ili kuwatoa wananchi kwenye reli ila TANZANIA ITAKOMBOLEWA one way or the other… USHINDI UNAKUJA CHA MSINGI HAKUNA KUKATA TAMAAA…
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸55,269 görüntüleme • 4 gün önce

Lema hatunae tena, Lema keshauza mechi. Lema anaishi Sea Cliff miezi miwili sasa.
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸307,508 görüntüleme • 1 ay önce
0:54
Sensitive content
This media may contain sensitive content.

OMG!! 😭😭😭😭 hii ni Mortuary ya Mwananyamala. Alieachia video hii anahofia mnooo maisha yake ndo maana imemchukua muda sana kunipa video hii. Anasema kuwa polisi walikuwa wanachukua simu za manesi na madokta wanafuta video na picha na kuwatishia wasirekodi kitu, yeye alikuwa na simu 2 so akawapa simu ambayo alikuwa hajarekodi chochote wakaridhika.
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸2,498,248 görüntüleme • 11 ay önce
0:47
Sensitive content
This media may contain sensitive content.

OFFICIAL STATEMENT REGARDING MY LAWSUIT AGAINST META. Because this matter is now before the American courts, I have been advised not to comment publicly on the details of the case. My attorney is available to provide clarification and comment where appropriate. Though I am only one person with limited resources, I am prepared to stand and fight giants. If that fight means confronting powerful American technology companies over alleged deceptive and fraudulent conduct, conduct that I allege led to the suppression of evidence concerning the mass killing of thousands of protesters on October 29, 2025, as well as the suppression of information about kidnappings, forced disappearances, and the arbitrary imprisonment of government critics, the silencing of the media, illegitimate elections, and corruption in my native country, Tanzania, then I will fight with everything in me. I expect Meta to come at me hard, a human rights defender facing a company with vast resources. But I do wonder what might look different if that same determination and those same resources were devoted to resisting foreign-government pressure targeting a United States human rights activist or, at the very least, if the public were given greater transparency and whole truth about how such foreign government requests targeting U.S. citizens are handled. Californians deserve better. The American public deserves better. Tanzanians deserve better. The world at large deserves better. I have done what I believe I must do. Now the matter rests in the hands of God and the American courts. END OF STATEMENT Link to the lawsuit : For those who may not fully understand how devastating Meta’s alleged actions were for the people of Tanzania, I’m sharing this link to CNN journalist Larry Madowo’s Instagram, where he speaks about it. Larry Madowo just won 2026 NABJ SALUTE AWARD FOR GROUNDBREAKING TANZANIA INVESTIGATION INTO THE OCTOBER 29 KILLINGS OF PROTESTORS.
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸289,953 görüntüleme • 1 ay önce

Niffer na Dudubaya wanatumika bila kujua na wanawasaidia wauaji kuwatoa Watanzania kwenye reli. Hizi kampeni za kipumbavu lazma Watanzania tuzikatae.. Kampeni zinahitajia Tanzania ni 3 tu. 1. Katiba mpya 2. Free Tundu Lissu 3. Uwajibikaji wa mauwaji ya October 29 Kampeni zingine zozote ni ushenzi na laana za kuhakikisha haki haipatikani.
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸109,089 görüntüleme • 20 gün önce

Hizi shutuma za sea cliff mtakuja kudhalilika na sijui mtaniombaje msamaha. Narudi kwenye enzi zangu za umbea, hii story anayohadithia Esma hapa, nili ibreak mimi kwenye Mange Kimambi App mwaka 2024. Ilileta balaa kwenye social media wiki nzima, machawa walikuwa wanafanya interview kwenye hiyo redio yao wanaambia Watanzania mimi muongo nataka tu kugombanisha familia za watu, Mimi mchonganishi ila mtu na dada yake wako sawa. Mpaka wakaposti video dada mtu yuko nyumbani kwa kaka yake ili waweke ushahidi mimi ni muongo. Mpaka wahusika walikataaa sio kweli wana ugomvi mkubwa ila mimi ni muongo natunga story ili watu waende kwenye app nipate hela. Uzuri Watanzania hawajawahi kutetereka na habari zangu wakaamini, wakajazana kwenye app kama wooote. Haya fast forward to September 2026, more than 2 years later huyo hapo Esma ana confirm habari niliyowapa Watanzania 2 years ago, tena anai confirm word for word kama nilivyosema. Hii habari ya sea cliff watakuja kui confirm wenyewe. Hata huko mbele kuna siku Heche atakuwa comfortable enough kuongea issue yake na Lema, naelewa now is not the time, anaweka uongozi mbele. Wananchi wanajua sinaga matango pori huwa ni swala la muda. Nawaomba radhi kwa kuwapostia huu upupu. Sitorudia tena.
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸175,545 görüntüleme • 1 ay önce

Mi naomba mtu anieleweshe why California ndio bei ya juu nchi nzima? Why mkoa huu? Yes bei imepanda nchi nzima ila California ni imepanda karibia mara 2 ya nchi nzima…… That said, I would rather pay bei kubwa ya mafuta kwa muda mfupi kuliko terrorists like the Islamic republic kupata nuclear bomb………. Yani huu mkoa wa California kila kitu hakishikiki, maisha ni expensive, nahisi Marekani nzima huu mkoa ndio maisha magumu. Sometimes nawazaga ningeishi huko mikoa mingine ningekuwa naishi kama malkia nahisi… ila hapa ndo naishia toka naingia Marekani zaidi ya mwaka mmoja nilioishi Florida, na hali ya hewa ndio best mkoa huu kwa Marekani nzima. Yani naupenda huu mkoa although unaninyoosha……
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸93,725 görüntüleme • 19 gün önce

Hilda Newton Be careful my love, leo umetumika na Abdul na mama yake bila wewe kujua. Please be careful next time. Chuja content unazoletewa kwa kina. Leo wanaharakati tumefanya dirty work ya CCM. Tuwasaidia kumchafua Mwigulu bila wao kuonekana wanahusika. Watanzania, Tanzania amkeniii, tuhakikishe Mwigulu anatoka kwa style ile ile ya Nchimbi, CCM wamtoe mchana kweupe ila sisi tusiwafanyie hii kazi ya kumuondoa Mwigulu. Yes, wote tunamchukia Mwigulu ila let’s look at the bigger picture . Mwigulu is a small fish in the ocean, let’s deal with the big sharks, SAMIA, Abdul, Kikwete…..
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸90,804 görüntüleme • 19 gün önce