This one hit different 💔
@Roma_Mkatoliki1,4 млн подписчиков
38 605 просмотров
24 комментария
Комментарии из оригинального поста в X (Twitter)

@HowIWish5
.....Tumezungukwa na ndugu wenye pesa na wapo kitengo, Ila tukipata shida tunasaidiwa na wana tu wenye upendo .... Msiba wa mkoa huu 💔🕊️
10 отметок «Нравится»

@enock_ezek27322
Eddo tiger Mnyama toka shule ya msingi namsikiliza, alikua anapenda kutania jinsi anavyompenda Rihanna. R.I.P TIGER!
7 отметок «Нравится»

@abbleluv
Daaah ! 😥 Eddo Bashiri ! Mnyalugendo ! Daaah
5 отметок «Нравится»

@Your2qh
Daaah aseee Eddo Bashir daah , Miez kadhaa tu wametoka kumzika mzee wao
5 отметок «Нравится»

@Roma_Mkatoliki
Yes juzi juzi tu
2 отметки «Нравится»

@karim888c
Hyu nakumbuka kama mlipiga nae chaka 2 chaka hyu
4 отметки «Нравится»

@MKamokene34890
Apumzike kwa amani mtaalamu wa nyanda za juu kusini
3 отметки «Нравится»

@RenasMjema
Pigo sana kwetu Iringa na Nyanda za juu kusini, Tumeumia Legend has gone
2 отметки «Нравится»

@PolycarpMDM
Sema Roma Mi nilikusikia kwa Mara ya Kwanza Uplands FM, Sipati picha Ebony kijiji ulikua nacho kipindi kile. Jamaa walikua wanakuelewa sana
2 отметки «Нравится»

@classymusictz
Apumzike kwa amani kaka yetu... pole sana kwa ndugu,marafiki na tasnia ya habari na sanaa
2 отметки «Нравится»

@Father_Mayer
Apumzike kwa Amani Homeboy.😭😭
2 отметки «Нравится»

@AchibodM
Safari ya kujitafuta inapitia mambo mengi sana MUNGU AWABARIKI WANA WOTE WASIO KUWA NA TABIA ZA KIREEE
2 отметки «Нравится»

@ErnestNl3535
Eddo amelala, Eddo Ameileta TIGO nyanda za juu kusin. Eddo Amepigania Wasanii wa Nyumbani (Hili ni Zao la Nyumbani) Sikuwai kumfahamu Kwa Sura Yake, Lakini Ninahadidhi nyingi Kumuhusu kwasababu Ninapenda Sanaa. Rest In Peace 🙏
2 отметки «Нравится»

@IgnasMgidange
Pigo saana hili. Nyanda za juu kusini ni pigo
2 отметки «Нравится»

@Andrewe20298988
Msiba unauma Sana huu aiseee 😂
1 отметка «Нравится»

@latipha86592
R.i.p baba wawili😭
1 отметка «Нравится»

@lukalijr
Daah mwamba kasepa tena!!!?
1 отметка «Нравится»

@mpolokwane123
Dade waa vana💔

@Mdeem_Riddim
Mwenyezi Mungu ailaze roho yake pahala pema. Pumzika kwa amani Eddo.

@NgoyeMichael
Alikuwa mwanao sana huyu,makato



