正在加载视频...

视频加载失败

46,025 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)

10 条评论

KIDUKU 的头像
KIDUKU1 年前

Nguvu Ya UMMA Inapoamua Mtawala Anatumia MAJESHI Kuudhibiti Umma Hapa Majeshi Yanakua Na OPTION Mbili 1….Tuue Mamilioni Ya Wananchi Sababu Ya Kikundi Kidogo Cha Watu? 2…Tusambaratishe Kikundi Kidogo Kunusuru Mamilioni Ya Wananchi Hapa Ndio Unasikia JESHI Lachukua Nchi

Rwamibazi Jr 的头像
Rwamibazi Jr1 年前

Sio nne tu ila sio nyingi sana 1. Tunisia (2011) 2. Misri (2011) 3. Sudan 4. Serbia 5. Ukraine (2004 na 2014) Mnaweza kuongezea

Mshauri wa Engonga 的头像
Mshauri wa Engonga1 年前

Huyo Mzee amejielekeza vibaya sana. Labda alisimuliwa akiwa tungi. Egypt, Tunisia, Algeria, Sudan, Brazil, Peru, France, England, South Korea, hayo mataifa yote yana historia ya mabadiliko yaliyo shinikizwa kwa nguvu ya umma. Don't play with the country people

Angas Oketch 的头像
Angas Oketch1 年前

Huyu mzee hana data; Nguvu ya Umma ilishinda katika nchi kama: Tunisia, Misri, Sudan, Burkina Faso, Zimbabwe, Ethiopia, Algeria, Ukraine, Serbia, Georgia, Bolivia, Chile, Argentina, Indonesia, Philippines, Nepal, Thailand, Kyrgyzstan, Lebanon, na South Korea. Historia haifutiki

REGAN™🔴 的头像
REGAN™🔴1 年前

No reform no election ni sera itakayo kipeleka chadema kaburini na ndomaana kipanya anachoraga katuni ya mtu ameandaa kaburi anasubiri tu kizika bila kukata tamaa, linajaa maji anatoa anaendelea kusubiri watu hawaamini niliwaambia chadema ikienda ivyo itakufa wakanipika sana humu

#NIPENI_MAUA_YANGU💐 的头像
#NIPENI_MAUA_YANGU💐1 年前

Ile katuni umeitafsiri kinyume

NTOBI 的头像
NTOBI1 年前

Mkato, utaambiwa wewe ni G-55! Futa hii tafadhali! Hakuna cha maridhiano hapa!🤔

#NIPENI_MAUA_YANGU💐 的头像
#NIPENI_MAUA_YANGU💐1 年前

Ni muhimu kuwa na mijadala kama hii na ijibiwe kwa hoja

Dreezy 的头像
Dreezy1 年前

Asa kama hawataki makubaliano ya amani wwe mkato unashauri njia gani nzuri itumike

mshumaa 的头像
mshumaa1 年前

Hana hoja, CDM haijasema nguvu hiyo anayoielezea kwa mifano. Wanamaanisha umma itumie nguvu ya kushawishi mabadiriko ya sheria ya uchaguzi bado hatujafikia kiasi hicho lakini ikilazimu tutafika huko kwasababu watu wamechoka dhulma. Inawezeka ikawa mtu moja tu akabidiri historia.

相关视频