Asante MZEE WARIOBA.
@Sativa255190K followers
22,210 views
10 Comments
Comments from the original post on X (Twitter)

@sambala_jr
In case siku ikafika huyu mzee akatangulia mbele za haki,basi nitamuomba Mungu anijalie niwe na pesa ya kunitoa hapa mkoani nikashiriki mazishi yake...itakuwa ni ibada kubwa kwangu,Mungu akupe maisha marefu mzee wetu
5 likes

@KACg200
Kazi yako mpaka hapo dingii imeisha... Sasa tuachie sisi.. Stay blessed kama kuna mahali ulikosea basi mungu akisamehe wewe pekeako kwanza sababu ya hii speech yako.
1 like

@georgesaakumi
Mzee amenyooka
1 like

@mtumba_OG
Huyu mzee hakuna tunacho mdai
1 like

@KongPastor78439
Bwana ampe Maisha marefu Mzee wetu!
1 like

@VardenNk
Wazee kama hawa ni wachache siku hizi.🙏🙏🙏

@mr_profit_19
Afu pia hio 518 ndio miili ilopatikana au vp mbona si kweli 🤔

@JAPHETMUTA2002
🔥🔥🔥

@BakizaHamiss
Mwenyewe mungu anijarikhe kwenye maisha yangu nisiwe mnafki Ninyooke kama huyu Mzee 👊

@Johnsonmrck
Mzee karibu na Mh.Heche ni Sheikh Ponda..au ??
