Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Dodoma mpo tayari?????
42,328 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)
11 Kommentare

Fedha amekwisha itoa yakwake au ni Kodi za Umma? Kua CHAWA Mzee ni Kazi sanaaa aseeeh!!! 🙌 Kila Siku Huyu Mama anatajwa, kwa Siku anaweza-Kutajwa hata Mara Millioni‼ Huu ni Ushamba acheni hizo....

🚀 2025 is shaping up to be crypto’s golden year! Bold predictions from Bitcoin ETFs to memecoins mania. 🌟 Read more now!#CryptoPredictions2025 #Bitcoin #Ethereum

Hizo pesa za kujenga upya kwanini msiziwekeze kwanza kuviboresha viwanja vilivyopo walau vile na hadhi kama wa AZAM COMPLEX Jamuhuri Dodoma Jamuhuri Morogoro Karume Musoma CCM Kirumba Mwanza Sokoine Ule wanaotumia Tabora Ule wa Singinda BS Au wenzetu hamuangalii LIGI yetu?!

Msigwa, yale mabango ya picha ya Rais amewezesha ajira n.k pale Ngozi karibu na daraja la keko, kwa nini msingeweka mabango ya Madini (Tanzanite), Mbuga au vivutuo vya Utalii kuliko picha za @SuluhuSamia . Msaidieni Rais kujenga uchumi wa Taifa hili, sio picha zake tu kila kona

Hakika juhudi za Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu @SuluhuSamia tunaziona hasa katika sekta hii ya michezo kwa kuamua kutenga fedha kwa ajili ya ujenzi wa kiwanja cha Mpira 🏟️🏟️ kikubwa Nzuguni -Dodoma #kaziiendelee #SSH #Matokeochanya #nchiyangukwanza #MSLAC

Ngoja kwanza, ule uwanja wa kubeba mashabiki laki Moja uliahidiwa na mfalme wa Morocco utajengwa lini?

Walau mngeongeza idadi ya watazamaji mpka 35k

32k kwakweli mnaturudisha nyuma makao makuu ya nchi na zile porojo za uwanja wa watu elfu 85k. Aseee muangalie jinsi ya kuongeza huo uwanja Bwana Mdogo mnooo

Dodoma Airport🛫 🇹🇿 🌍

Ule wa 80k??

Asante maana tuwe na ata viwanja vinne vya kueleweka

