Endeleeni , kuna siku hamtaamini!!!
@godbless_lema1.3M followers
71,494 views
31 Comments
Comments from the original post on X (Twitter)

@MaxTz255_
Bora hata babu zetu wao walitawaliwa wakiwa hawana Elimu na wakajinasua wakiwa hawana Elimu hivo hivo 🥹 sasa hii generation yetu sijui nini kitainasua mbaya zaidi tunatawaliwa kibabe na hawa hawa wenzetu bora wao walikuwa wazungu 🥹 shame on US
17 likes

@busautreni
Hawajaanza leo #endcolonialismintanzania #ccmnimkoloni #justiceforsativa
14 likes

@lutherakyoo
Utekaji haujaanza leo, @SimonMwijage amepitia haya pia, tunashukuru aliweka kwenye maandishi! Hawa watu wameishageuza utekaji kama sehemu ya kulinda maslahi yao. Hakuna usalama wowote. Tuwafunue sasa.
9 likes

@thatschusi
TABIRI ZAKO HAZIJAWAI FERI NABII WETU. MPO WEWE NA NDGUGAI TU ✍🏿
6 likes

@JoyceHuru
Bashite angekuwa mkuu Kigoma basi Sativa angepelekwa Kigoma alafu Katavi
5 likes

@latax_
They will not believe.
4 likes

@Ynnobygger1
Hapa @tanpol mnawezaje kusema hamuusiki maana ni ngumu sana kumsafirisha msomali barabarani bila kukamatwa sasa huyu alitekwaje na kusafiriswa barabarani kutoka dar had katavibila kuwa detected na mseme hamuusiki?
4 likes

@WemaKako
Hakika kaka.
3 likes

@MightbeOj
Tusiache kumchangia matibabu mkuu
3 likes

@MAKITABA11
lema sio waendelee mimi naamini kabisa kanda yako ukiunganisha na kanda ya heche ni nguvu tosha
2 likes

@sambuo99
Tuanzisha maandamano ya amani juu ya vitendo hivi vinavyo endelea #wapushrelipitakushoto
2 likes

@ShivoTz
MUNGU ni mwema
2 likes

@PaulChombo
Giza limeanza kutoweka
1 like

@thatschusi
Wajiandae,siku watalipa kila nafsi walio dhurumu
1 like

@khaledponera
Ukiheshimu mamlaka na sheria, wala hupati matatizo..
1 like

@pauldaviddavies
That is very cruel of a human to another.
1 like

@MrNafuu
Duuu! Mungu atusaidie Hatuko Salama
1 like

@bigotz001
Siku sio nyingi
1 like

@_Maestro19
Hakika mzee mob iko na hasira hatari
1 like

@OriginalMkisi
Inaumiza na kukera sana unafanyia binadamu mwenzako unyama huu, Mungu awalipizie maradufu, AMEN
1 like











