Загрузка видео...
Не удалось загрузить видео
Hii nchi ina michezo sana😂😂
92,468 просмотров • 14 дней назад •via X (Twitter)
Комментарии: 28

Warioba jaji Jaji mkuu Mbunge Waziri wa katiba na Sheria Waziri mkuu Makamu wa 2 wa Rais Mwenyekiti wa tume ya katiba na Sheria Kihongosi Kiongozi mkuu wa mbio za mwenye Taifa DC Mwenyekiti ccm mkoa Mwenezi ccm Taifa

Interesting..

Watangazaji wa saa ni vilaza sana. Wamezoea uchawa unawezaje kumlinganisha genius Jaji Warioba na chawa kenani. Huyu mtangazaji wa clouds khani anakuaga mjinga mpumbavu sana

Warioba aliwahi kuwa mmoja wa wa wajumbe wa UN, walioshiriki kurengeneza sheria za bahari duniani.

Na alishakuwa, makamu wa rais

Mimi nitasema wakipenda wanifate Kenya nipo Kirinyaga; Warioba anajua anachokiongelea kwa nyadhfa alizokuwa nazo. Huyo mwingine, anatetea tumbo

Ila warioba ame-enjoy sana

Pia makamu wa kwanza wa Rais

😂😂😂😂

Unacheka nini?

Raisi wa serikali ya wanafunzi 😂😂

😁

ni sawa na ali kamwe au mchome kusema Mo hana pesa😃😃

thema big jau katuma ujuma afu badae anazuga kama sio ety mwanangu anasoma darasa la kwanza😅😅😅😅😅

Kesho tu hapo tutaambiwa ithibat

Alikuwa makamu wa rais na waziri mkuu

Warioba profile yake .Waziri Mkuu na makamu wa kwanza wa rais,Waziri wa katiba na sheria,mwanasheria mkuu wa serikali,jaji mkuu wa Tanzania,na top ten of the world's judges, mwenyekiti kiti wa tume ya mabadiliko ya katiba Tanzania

Kwanini mnatuacha njiapanda? Weledi wa kazi yenu uko wapi?

Huyu big kuna ujumbe kautuma hapo

Mm nimekufaham kwa nn umeuliza, asiyejua maana usione maana

Ndio maana siwezi kuisikiliza hii redio ya hovyo

Mbingu na Dunia

😂😂 😂

Ithibati ithibati 😂😂

Masihara haya ..

😁😃 Aise 🙌

Daah 😂

Najima ni debe tupu. 🚮
