39 комментариев
Комментарии из оригинального поста в X (Twitter)

@CharlieBihemo
Hii TV iliishiaga wapi??
6 отметок «Нравится»

@yose_hoza
Inakuja 😂😂😂 si unajua hizi timu zetu

@CharlieBihemo
Tuwaulize nyie mashabiki

@ANkhupe
😂😂🤣🤣baada ya kusikia Simba inatengeneza studio kubwa ya kisasa
2 отметки «Нравится»

@tin_soul
😂😂😂😂Bilion 38 inaanza kuwachanganya
2 отметки «Нравится»

@Middleborn_
Hii timu inaongozwa na wapuuzi sana. Wana mambo ya ajabu kujaribu kuvuruga mipango ya wengine
1 отметка «Нравится»

@ImadeFreemind
😂😂😂Wananchi Fm
1 отметка «Нравится»

@yose_hoza
😂😂😂

@ImadeFreemind
😂

@burhanikhaled
Ile TV mliotuambia tayari?
1 отметка «Нравится»

@yose_hoza
Shwaaa

@burhanikhaled
😁

@PaschalSam1
Aiseee 😂

@yose_hoza
😂😂😂

@AbrahamMwanken4
Hiyo redio 24/7 itakuwa ni kuiponda simba tu😁

@slpjpma
Tv ilienda wapi 😂😂

@yose_hoza
😂😂

@JustusJastaz
😆😆😆😆 @godbless_lema futa litimu la yanga 👉 🐸🐸 linaendelea kudanganya wanachedema wenzako

@Pancras_tz
Kila la kheri

@mayienga_dunia
Yaan Kamwe yeye kila siku ni kupambana na wana habari tu
















