正在加载视频...

视频加载失败

Ilikuwa Mwaka 2016.

43,222 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)

11 条评论

I V A N 的头像
I V A N1 年前

Jamaa hana haja na kipaza sauti 😂😂🙌🙌

Estadio Deportes 的头像
Estadio Deportes1 年前

PIDIÓ PERDÓN. 🙏 Nico Williams se disculpó por sus polémicas declaraciones después del Países Bajos vs España. 😬 ¿Afectará para la vuelta de la Nations League? 😶 Entérate de todo. #NicoWilliams #PaisesBajos #España

The Fact 的头像
The Fact1 年前

Kinacho sikitisha hiyo dua haikufanya kazi

Good_Ceramica 的头像
Good_Ceramica1 年前

Huyu jamaa anaitwa Rama, mwenyeji wa Tanga, alikua jirani yetu in early 2000s alihamia Dar, tukawa nae kitaa Kijichi, tumecheza nae chandimu sana, akaanzaga harakati za usanii kuchana na kuigiza, akaenda Zenji baadae akawa mtu wa swala Tano.

Edward Bussagwe 的头像
Edward Bussagwe1 年前

@MwijakuBurton kaiga hapa

Mujjahid 的头像
Mujjahid1 年前

Huyu jamaa hakuokota kwelii

Kamugisha Kyekaka 的头像
Kamugisha Kyekaka1 年前

Heloo @grok huyu jamaa yupo wapi sasahv

Kimambo Khan 的头像
Kimambo Khan1 年前

Daah! I feel de pain

Teendwa 的头像
Teendwa1 年前

Michezo hio , nenda wewe karibu na rais hivyo utajua hujui

Lupin🧠 的头像
Lupin🧠1 年前

Hellow @grok naomba kufahamu kuhusu kondey_

Wazir 的头像
Wazir1 年前

Kikosi kazi 103DHj

相关视频