Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Inaogopesha sana.
106,090 görüntüleme • 1 yıl önce •via X (Twitter)
10 Yorum

Iyo miaka 62 inatisha kabisaa na yupo 4m 1 jaman @MariaSTsehai umeiona hii?

Daah! Wanafunzi kushirikishwa kwenye wizi wa kura ni somo baya sana,haliko kwenye silabasi za nchi,hii ni uhaini dhidi ya elimu kwakweli,wanafundishwa hujuma HAIFAI 🤔

Binafsi nilishasema sitokuja kushiriki uchaguzi Katika ardhi hii kwasababu hatuna uchaguzi. Kumbe nilikua sahihi sana..

Kupost humu haisaidii Lema,hakuna jipya hapo.Inajulikana kwamba hakuna uchaguzi tz ila huwa ni maigizo tu.Kwani miaka yooooote mnavyopost na kulalamika uhuni unaofanyika,ilibadilisha lolote!? Endeleeni kuhamasisha na kushiriki maigizo ya lumumba milele.

@mchengerwa_m @ortamisemitz Mh. Mchengerwa alisema hajasikia watoto chini ya miaka 18 kuandikishwa. Yawezekana hizi clip hazifunguki lakini wananchi wanamlaumu tu bure.

This is a family affair. why should i vote? Anayesimamia uchaguzi wa serikali ya mtaa kwa niaba ya @SuluhuSamiani ni mkwewe @mchengerwa_m

Watoto wanashanga Miaka yao ipo mbelee hii ndio CCM ya wezi madhulmat wa Haki zetu

Tatizo la watu kususia chaguzi kwa kutojiandikisha haliwezi kumalizwa kwa kuunda tatizo la kuandikisha wenye umri mdogo Tunapswa kutengeneza mfumo unaoaminika na wapiga kura

Haiogopeshi... nasisitiza kuwa mkichezewa rafu na nyie chezeni rafu, Kama haiwezekani why mnaparticipate? Miaka Nenda rudi ni hivo hivo na haisaidii... ukikatwa mguu wewe kata kichwa

Watoto wanacheka wenyewe Yaani ana shangaa mwenzake ana miaka 60+ jaman 😀😀 @MariaSTsehai @godbless_lema @IAMartin_ @HildaNewton21 @TunduALissu
