Loading video...
Video Failed to Load
Jamaa kaona usiwe tabu🤣🤣🤣🤣🤣🤣
102,619 views • 2 years ago •via X (Twitter)
10 Comments

Sia Da Vinci💎2 years ago
Freemasonry ya nyoko.

MedKali MD2 years ago
Hakuna cha ufrimasoon wala nn, wote hapo wasanii tu, mr nice anatafuta gia ya kurudi mjini, huyo mwingine ni tapeli, mutual relationship hyo. Nan ajiunge freemason arekodi video ya hvo alafu aiposti !?? Secret society ujiunge alafu umwambie kila mtu!?? Wote wahuni hapo

🥸..2 years ago
Mr. Nice kapigwa. Freemasonry ni secret society 😅

Toussaint Louverture⚡⚔2 years ago
Sidhani kama hawa jamaa wanaruhusu privacy yao kuwa exposed hivi maybe ni movie au kichupa kipya

Suby2 years ago
Kaamua kujitoa muhanga hahahaha

Ngaso62 years ago
Kajilipua

Daniel Mkisi2 years ago
Shida ni kuwa lazima Utapeliwe ndio akili ikushike

𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿2 years ago
Ohooo 😀😀😀

Ngaso62 years ago
Mambo yamekuwa mambo

The Diplomat2 years ago
Hakuna freemason hapo mr nice katapeliwa 😄
