Kumbukizi ya Machi 14, 1995 ๐
@JamiiForums1.8M followers
27,103 views
7 Comments
Comments from the original post on X (Twitter)

@flmkenda
Namna mojawapo ya rais kuvunja katiba ni rais kuwa mhaini, kwa mfano kwa kutumia mamluki kuumiza raia anaowajibika kikatiba kuwahakikishia usalama, uhuru, na ustawi.
3 likes

@KakweF
He also failed us alot๐ฝ
2 likes

@papadax254
Samia ameuwa maelfu na ameapa kuilinda katiba ama kuua ni mojawapo ya kutetea katiba?? na bado wanatishia raia eti wasipost maovu ya maandamano Toeni samia kwa kiti tafadhali

@ganja0001
Baba wa taifa hao siku hizi ndio wako juu ya katiba

@tanzaniano255
โTuweze kumshitakiโ rais anashitakiwa? Au alikuwa anamsema kiongozi wa ngazi gani?

@Daud562958
Hapendi tena hizi hotuba za baba wa taifa ๐ง๐ฎ wanasaka zile za vikao vya chama za kuwalenga wao ndo wanataka tusikilize

@MsinguziEthan
Niikuwa na siku moja nimezaliwa akitoa speech hii
