正在加载视频...
视频加载失败
Miyeyusho kweli
22,276 次观看 • 6 个月前 •via X (Twitter)
25 条评论

Alafu mnauliza kwanini morogoro hakuna maendeleo

Inawezekanaje huyu jamaa anakua kiongozi na hizi akili? 🤔💭

Anaongoza watu wa morogoro 😂😂

Anabonga ushibwada kwenye Vazi tukufu

Uyu ata mavi yake yanaweza kua na akili kuliko akili alizo nazo kichwani mwake

Alafu ni Mbunge Alafu ni mwezi mtukufu Aibu naona Mimi

Hiki kichwa kmke🤣

Hivi huyu mzima kweli?

It is just utani, utakuta watu wanuna balaa.

Anafanya ziara kaka nani!

Fungulia mbwa 😂🙌

Na kanzu yake kafunga safi kabisa 🤗

Wameshatuona wajinga ndio mana Wanataka kuskia vicheko sababu wanaamini hii nchi ni ya mzaha.

UKIJUA N SHABIKI WA TIMU GANI BAS UMEMALIZA. NDIO AKILI ZAO ZINAPO ISHIA

Halafu kuna mtu anaringa kuwa ana mbunge

Magu bwana

Huyu ni sawa na mbunge kivuli 😅

😂😂 Jau

Qmmke

Ndo uwezo wake wa kufikiri na kuchambua mambo ukipoishia hapo?

Member of THE Parliament 🤣🤣

Duh!! Huyu kweli ni zaidi ya takataka🚮 Aisee!!! Hata kama huna akili huwezi kuwa kwa kiwango hiki!!!

Hii ndo akili ya mwakilishi wa wananchi!!?

Hawa ndiyo wabunge alituachia mzee 😃

hii generation ya hawa wazee wasio na elimu na hawajakwenda shule inabidi iwe wiped yote ndo tujikomboe kwenye hii nchi 😂
