Loading video...

Video Failed to Load

Go Home

26,193 views • 2 years ago •via X (Twitter)

10 Comments

Kanyesu Jr's profile picture
Kanyesu Jr2 years ago

Kufa sio adhabu mpaka utumie kama hoja kufa wajibu hata yeye na chadema yake atakufa

Clarence Ndyetabula's profile picture
Clarence Ndyetabula2 years ago

Wewe tangaza sera za chama chako sio ku attach watu haisaidii. Kama ni kusali nenda kasali na wanaokubaliana na wewe.

verys's profile picture
verys2 years ago

Baba mtu mzima anamuonea wivu mwanamke kwa kuwekwa dp😂🙌🏻

Emmanuel 'Chacha' Christopher's profile picture
Emmanuel 'Chacha' Christopher2 years ago

Nabii @godbless_lema Ameen!Ikawe Heri🤲🤲🤲

Activist's profile picture
Activist2 years ago

Kufa ni wajibu kila mmoja atakufa kifo hakichagui chama maana hata waanzilishi wa Chadema leo hawapo walishakufa.

Godson Salema's profile picture
Godson Salema2 years ago

.Eeh yesu kristoo kumbe waziri wa tamisemi ni mkwe wa Rais no Wonder why Kesi ya uchaguzi imepigwa chini Tamisemi waendelee kusimamia .. kweliii?! Hii nchi tumefikia ukoo? waTz amkeni bhna!..tusiwe foolish kias icho

KISANI MELEYA KIKAKA's profile picture
KISANI MELEYA KIKAKA2 years ago

Always 🙏

Lukman Said's profile picture
Lukman Said2 years ago

Tatizo la chadema mambo alokuwa anayafanya mbowe na Mtei ndio mambo yanafanyika serikalini Lema wewe sio Mungu unatoa Roho kila mmoja atakufa kwa wakati wake Wacheni ujinga

Mzalendo's profile picture
Mzalendo2 years ago

To be honest kuna watu wa3 ninawamini kupindukia huyu ni mmojawapo...

MASTER GENERATION's profile picture
MASTER GENERATION2 years ago

Tahira hili mke wake wanajirombea Canada uko

Related Videos

Mtoto ya Mungu.
0:26

Sensitive content

Mtoto ya Mungu.

Hon Kiborek Reuben

171,479 views • 1 month ago