Sensitive content
This media may contain sensitive content.
Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Niga kayatimba 😂🫵🏾
247,438 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)
11 Kommentare

Video kama izi sipendi ziwe fupi

Unataka uone kwa kina🫵🏾😂

take the journey

Hapo kweli anaweza akawa kayatimba sababu hajatembea na kitambulisho maana hata jeshini wanyonge wapo ila nachowaza what if akamtuma mtu akachukue kitambulisho🤣🤣🤣 oyaaah makosa yanaamia kwenu ni mikwaju

hii kazi ya jeshi vijana wanaipenda sana kombati mtaani zinakubalika kuliko sare zile zingine

Tumeni helaaa! mwana kayatimba huku msijee! msijee! nyie tumeni helaa! 😂😂

Tumemtembezea kichapo 😅😅 #Nilikuwepo 🫵

Hili ni tatizo la ccm vijana wameshndw kutimiza ndoto za kuwa ma Soldier mwisho wa siku wanaamua kutumia mbinu zengn nje ya sheria

Angevaa zake na Magereza au Police pengine hamna mtu angehangaika nae 🤣🤣

Hasira zote za lissu kutokuwa kitaani ashushiwe huyo nditi

Pastoli kampoza mwanae😂😂
Ähnliche Videos
Sensitive content
Jamaa anasikiliza shida “View once”🫵🏾😂 Sema hii dini waliojipata wanatuona sisi MATAKO YAO aisee.🫵🏾😁
SATIVA
24,987 Aufrufe • vor 10 Monaten
