Nimecheka kifala ๐๐๐๐๐
@HildaNewton21961ย B takipรงi
24.505 gรถrรผntรผleme
35 Yorum
Yorumlar X (Twitter) รผzerindeki orijinal gรถnderiden alฤฑnmฤฑลtฤฑr

@TagAyie
Ninachowaomba Wanacdm, Bawacha, Bavicha msiogope na kuanza kukimbia pale Polisi wanapokuja na kusema tunawakamata. Semeni kwa pmj tukamateni kama kukaa chini kaeni na kusema hatutoki hapa. Mnapokimbia mnawapa nafasi ya kuwatenganisha na kuwakamata moja2. Tunarekodi kila TUKIO
14 beฤeni

@FeliusFesto
@Tz_Kwanza Afande RPC anataka wanawake wamuogope..... Mambo ya ajabu Mura
10 beฤeni

@HildaNewton21
@Tz_Kwanza Mjinga sana, wamuogope yeye Mungu.
9 beฤeni

@MendradMlelwa
Tunaweza tukalaumu police wetu kumbe walishapewaga limbwata na raisi
7 beฤeni

@UlimwenguN74598
@Sir_Shuma Polisi mwenye nyota kiongozi mkubwa wa polisi unasema uongo hata shetani anakushangaa wafanye vurugu wao ni vichaa.vurugu wasifanye kokote wake kumfanyia msoma????
5 beฤeni

@nurdin_mma60285
Hakika hawa police CCM wana uwozo wa akili sio bure na huwa hawakomi ni kitu cha aibu kwa taifa
4 beฤeni

@BwaloniTz
@peppatz @tanpol Kwani wananchi wanpaswa wawaogope? Kwani ninyi mko juu ya Sheria since when?? My understanding kulingana na Katiba yetu na ubovu wake, no one is above the law. Fanyeni kazi kwa mujibu wa sheria na Katiba. Matamko yenu ya kisisiemu hayajengi. Stop operating with impunity
2 beฤeni

@PushatheTruth
Kwani hawa polisi na familia zao wanakaa mbinguni? Mnashindwa kujipanga kudeal nao ? Acheni kulialia kila sikuโฆ Mnaudhi sana..deal with them accordingly na uonevu utaisha Mara moja. Polisi wanafanya huu upumbavu because hakuna consequences kwaoโฆchange that..
2 beฤeni

@MjukuuN33134
๐๐คฃ๐๐คฃ๐๐คฃ๐๐คฃ๐คฃhii nchi na uongozi wake wote wa fisiemu ni vikatuni
2 beฤeni

@someRastaguy
@mzalendo_taifa Kwani kuogopa polisi ni sheria?! Kwa hiyo usipoogopa polisi unakuwa umevunja sheria?!
1 beฤeni

@EberiManya36327
Hivi haogopi kuzumgumza uongo na huo umri alionao?? Mzee mzima anasema uongo kwa lengo la kujipendekeza tu kwa watawala.
1 beฤeni

@Charzy96
Check tulivyokaukiana kwanza, nashukuru Mungu hakuna polisi kwenye ukoo wetu imagine unakua mtu mzima alaf unakua unaamrishwa Cha kufanya Kama jibwa utaacha kubwabwaja usenge Kama huu? ๐ฎ๐ฎ
1 beฤeni

@GeorgeTibaijuka
@mackphason Kwa hiyo mlitaka kuogopwa ? Polisi ya Tanzania bhanaa๐! Hii ni taasis ya serikali kweli ?
1 beฤeni

@KatibaMpya7
Kwanini polisi waogopwe?
1 beฤeni

@AlexSamoja
Vurugu wanaanzishaga polisi, afu kwenye media lawama kwa chadema, ๐
1 beฤeni

@Muller95Diego
@tanpol ni wauwaji. MURDERERS. Wanalaana wote. ๐ฎ
1 beฤeni

@hsyanya31
@AlexSamoja ๐๐๐๐๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
1 beฤeni

@Pdizaina05
@MnunguSaid99197 Kwahyo kumbe mnataka kuogopwa
1 beฤeni

@Eggle_Vuvu
Ila police dah ๐๐คฃ๐คฃ
1 beฤeni

@Joblube4135261
@MnunguSaid99197 Division 4 ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
1 beฤeni












