Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Nimeumia sana .
101,089 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)
10 Kommentare

Broo umenyooka mnoo, always nakuangalia kama mentor na mfano mzuri wa kuigwa 👊🏼

Massage sent sent kaka, kama hawaelewi acha wasielewe wanachokitaka watakipata.

Pole sana Kamanda Hongera sana kwa hotuba nzuri uliyoitoa msibani umeongea kwa hisia hekima upole na unyenyekevu mkubwa sana kias cha kututoa machozi sisi wengine nilishindwa kabisa kuyazuia machozi yangu Wakati unaongea mh Lema mungu akupe afya njema nguvu na maisha marefu 🙏🙏

Kuumia kwako Haisaidii...we tembea na gani tu,,....usichukuliwe kizembe......sisi Sasa Ivi tunatembea na firimbi na visu..........maana mbowe Hana akili ata yakuwaambia watu wanunue filimbi Kwa Ajili yakujilinda!!

Leo umeutendea Haki Ukubwa Wako!! Ilitakiwa baada ya Kauli Yako Asimame aondoke alikotoka lakini kutokujua alama za Nyakati akabaki mbaya zaidi et anamsifia muheshimiwa Rais kwa kuagza Uchunguzi ufanyike Loooo!!

Una hekima sana kaka nataman niwe kama wewe hata kwa robo tu

Katika watu au viongozi amabao nawaangalia na najifunza mengi ni Lisu na Lema hamnaga kupindisha maneno appreciate broo

Brother pole umeongea kwa hisiaa Sana.....Leo mida ya mchana ofsni tuna staff maccm lkn wameumia baada ya speech yako,nilichojifunza nuru ipo karibu!

Me ata kama ntakosa nauli nitakuja tyuu siku ya msiba wako umeongea kitu Hadi nimehisi uchungu

Msiba wangu bado sana , maana nitavibeba vitukuu vyangu na hakuna adui anaweza chukua maisha yangu. Zaburi 91
