Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Prof. Lwaitama apewe ulinzi.🙌
126,749 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)
9 Kommentare

Hakika nimesikiliza points za Dr Lwaitama ni za msingi sana hasa mchakato wa - KATIBA MPYA - usimamiwe na TLS na siyo vyama vya siasa, mfano chama tawala nk. Kwa mantiki hiyo tunaweza kupata KATIBA MPYA mapema sana iwezekanavyo.

Prof. Ndio anatakiwa awe hivi🤝

Nimependa sana hapo alipo Sema kuwa tuwe na sheria rafiki yake muliro akifanya Kosa ashtakiwe 😂😂 tunataka bunge lenye meno, hatutqki mahakama ya kupigiwa simu😂😂😂 alindwe please

Mzee kichwa hajakifanya kontena la maji taka,akili ipo na inafanya kazi

Nimeshangaa sana mama kapiga simu...kule kwenye gesi..nilidhani angepiga simu hapa na yy achangie...kidogo..ndo maana tunasema shida ni pale juu

jaman tuna watu Tanzania,hawa wangelikuwa serikalini,ata izi tozo za kunyonya maskin ktk cmu zi cngekwepo

Amaongea vizuri sana.🤝

5:17

Shikamoo Lwaitama, hii ipo wazi. Uzalendo haupo kabisaa kwa sasa majizi ndio yenye maamuzi. Mambo yako wazi lakini hakuna uwajibikaji kwa sababu Taifa linetekqa na Majambazi
Ähnliche Videos
Sensitive content
Proffesor Chris Peter Maina!! Apewe maua yake!!
Jebra Kambole
38,781 Aufrufe • vor 1 Jahr

