33 Yorum
Yorumlar X (Twitter) üzerindeki orijinal gönderiden alınmıştır

@stever495
Kuna video mjongeo vikionesha mabasi mawili yakiwa yanakimbizana naomba video hizo zipuuzwe kwanza hyo sio Tanzania ni Zambia pili ni video za kutengenezwa za akili mnemba😅😅😅😅😅
13 beğeni

@Mwatexi
@am_gudie Baada ya hapo utasikia wapumbavu fulani wanakwambia "Kazi ya Mungu haina makosa" This is very stupidity!
11 beğeni

@Official_T_O_D
Hii ikipata ajal inafika mbinguni direct
9 beğeni

@TonnyAdamms
Madereva Vijana Hawa. Mchezo wa Hatari Sana. Tayiri (Tyres) likipasuka?
6 beğeni

@gregory_onesmo
Ningesha pitia dirishani kitambo bora nichubuke kuliko kifo
5 beğeni

@Andrewkizwalo
Izo ndio chuma za kupanda sasa kmmk shimo na gea
4 beğeni

@ynyange716
Nataman ningekuwa kwenye basi hii ni unyamaa full vibee
4 beğeni

@ChademaTdm
Mbna kama zambia hii
4 beğeni

@stevenadogo
Upuzi upuzi upuzi upuzi upuzi upuzi upuzi upuzi upuzi
2 beğeni

@kadogooalfonce
Hapo kikilia mbaaaa wameisha mamae
2 beğeni

@BollMacha12643
Roho mkononi😅😅
1 beğeni

@P_simpleman95
Kuna watu humo ??
1 beğeni

@Munguatosha_
Huyu wa kulia ukute ni Polo
1 beğeni

@kingnweze
Halafu badae wanagoma madereva kwamba wanaonewa na serikali. Ndio mambo ya kipuuzi kama haya.
1 beğeni

@GreatSeal1
@munyamambogo Jamaaa kakomaaa hajampa nafas kabisa hajataka kuwa mnyonge mame
1 beğeni

@MfashistTZ
Juma Nature Kuna msemo wake anakwambia "Walijaribu wale" 🤣🤣🤣🤣🤣
1 beğeni

@Tilishosafaris
🤣🤣🤣
1 beğeni

@EliMex8fn
Huyu serves Lesebuch apokonywe

@danito_mwaigox
Mi nashuka mamae

@wmangaya678
@NtungaRamadhan Hii bongo kweli dah!!!













