Loading video...
Video Failed to Load
Taarifa muhimu📌
32,866 views • 9 months ago •via X (Twitter)
30 Comments

Ukiisikiliza hii clip adi mwisho ujuzi pekee waliojikita nao watawala kwa sasa ni ulaghai na uongo uliopitiliza kiwango cha juu. Sema wana safari ndefu sana ya kuboresha uongo/ulaghai wao ili wananchi tuweze kuukubali. Ngumu sana🙌🇹🇿.

Ukiwaondolea watu haki ya kuzungumza na kupashana habari wao kwa wao hata habari zako zikiwa za kweli bado zitatiliwa shaka na Umma na ndio maana hivi sasa maelezo ni mengi, Lakini hakuna jitihada za kuponya hili na mengine mengi yanayozamisha taifa.

Uboreshahi wa Tazara

Mimi nimejielimisha kama ulivyotualika. Pamoja na maelezo marefu, umekiri kuwa we have incompetent operators and politicians. Hili halina ubishi. Bandari, mwendokasi, KIA tumeshindwa ila kupata kura 98% imewezekana.

Nimekusikiliza mkuu, umesema mlipokabidhiwa miongoni mwa matatizo yaliyowakuta ni ubishani na Zambia juu ya uendeshaji pamoja na gharama. Naomba kujua kwahiyo baada ya miaka 30 ya Wachina wakiwarudishia mtakuwa mna uwezo tena wa kuendesha na ubishani wenu na Zambia utaisha?

Umeeleza kuwa Tanzania ndio iliyo omba China ije kuwekeza, sasa ni kwanini Mradi ukaanze kuzinduliwa Zambia? Mgawanyo wa faida kati China, Tanzania na Zambia upoje kwa asilimia? Maana hapo ndio hua mnauza nchi na watu wanashangilia kwa kutokujua.

Wauaji wakubwa nyie 🚮🚮🚮

Mnatutia aibu, yaani walitujengea reli, wakatukabidhi na bado tunafeli. Yaani mie nikujengee nyumba ya kupangisha kariakoo pale, na bado ushindwe kuendesha huo mradi.. Acheni longolongo, nyinyi ni failure, hamtaki ukweli. Huu ni ushahidi kwamba MMEFELI

MATAKO YAKO

Wewe garishoni umekuwa mtu wa hovyo sana .kazi yako kutetea ujinga wa serikali hii HARAMU ipo siku inakuja tutaanza na wewe your idiocy

TAZARA 28 Desemba, 2025 Katibu Mkuu na Msemaji Mkuu wa Serikali Bw. Gerson Msigwa amewahakikishia Watanzania kuwa mkataba ambao Tanzania na Zambia zimeingia na China wa uboreshaji wa reli ya TAZARA utakuwa na manufaa makubwa kwa Tanzania kiuchumi na kijamii. Msigwa aliyekuwa akitoa ufafanuzi kufuatia baadhi ya watumiaji wa mitandao kupotosha kwa kubeza hatua hiyo, amesema reli ya TAZARA ambayo ilijengwa kwa mkopo usio na riba kutoka China kati ya mwaka 1970 na 1975 na kisha mwaka 1976 kukabidhiwa kwa Tanzania na Zambia ilikuwa ikikabiliwa na changamoto kubwa za kiuendeshaji hali iliyosababisha kukosa tija, kushindwa kujiendesha na kulazimu Serikali kutumia fedha zake kuiendesha. Amefafanua kuwa kupitia mkataba ambao Tanzania na Zambia zimeingia na nchi ya China kupitia kampuni CCECC, China itawekeza kiasi cha dola za Marekani Bilioni 1.4 sawa na zaidi ya shilingi Trilioni 3 na Bilioni 450 ambazo zitaboresha miundombinu ya reli, kujenga vituo, kununua treni ya abiria na pia kujenga kituo kikubwa cha Kidatu Transshipment Joint ambacho kitawezesha mizigo kutoka reli ya kati ambayo ina kiwango cha MGR kuhamishiwa katika reli ya TAZARA ambayo ina kiwango Cape Gauge. Amebainisha kuwa pamoja na uboreshaji huo, kampuni ya CCECC ambayo itaboresha reli kwa miaka mitatu na kuiendesha reli hiyo kwa miaka 30 itakuwa inatoa kwa Serikali dola za Marekani Milioni 30 kila mwaka (sawa na shilingi Bilioni 35) ikilinganishwa na sasa ambapo Serikali ya Tanzania pekee inalazimika kutoa shilingi zaidi ya Bilioni 28 ili kuchangia uendeshaji wa TAZARA. Kutokana na uwekezaji huo TAZARA inatarajiwa kuchochea uchumi wa Tanzania na Zambia kwa kiwango kikubwa kwa kuwa reli hiyo inaunganishwa na mtandao wa reli za kiwango cha Cape Gauge zenye urefu za zaidi ya kilometa 50 Barani Afrika. Baadhi ya manufaa ambayo Tanzania itanufaika ni pamoja na kurahisisha usafirishaji wa madini mbalimbali yakiwemo madini adimu yaliyopo Tanzania (rare earth elements, cobalt, granite, makaa ya mawe na chuma pamoja na mazao mbalimbali ya kilimo kwenda nchi za SADC na kwenda Bandari ya Dar es Salaam. Msigwa ametoa wito kwa Watanzania kupuuza wanaobeza mafanikio ya kupata uwekezaji huo mkubwa ambao umefanikiwa baada ya Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kukutana na Rais wa China Mheshimiwa Xi Jinping kukubaliana nae kuwekeza katika uboreshaji wa TAZARA na pia Rais Samia alipokwenda kuhutubia Bunge la Zambia na kutoa wito kwa Serikali ya Zambia kukubali uboreshaji wa reli hiyo kufanyika. Tayari Waziri Mkuu wa China Bw. Li Qiang amezindua uboreshaji wa TAZARA nchini Zambia ikiwa ni utekelezaji wa mradi huo.

Kwanza

Kuna sehemu nimeona eti wafanyakazi wa TAZARA wanadai mshahara wa mwezi wa nne 2025 pamoja na madai ambatani ya mshahara ya tangu mwezi 7-12. Yaani august to december Humu ikiwa ni pamoja na house allowance,overtime allowance na madai mengine kwa muda wote uo,

Never forget and never forgive

Mnapayuka payuka tu, utafikiri mnafanya ya maana, kumbe mumefeli kabisa! Yaani tumejengewa reli, thanks mepewa tuiendeshe Tu, nalo mumeshindwa mpaka mnarudisha kwa wenyewe, maji TATIZO, Umeme TATIZO, barabara TATIZO,elimu TATIZO, afya TATIZO, kuteka na kuua watu hapo mpo vizuri!

Girishoni hivi sisi tunaweza kuendesha kitu gani na tukajivunia kwayo...?rasilimali zetu zote mhimu ziko mikononi mwa wageni ccm mnatupeleka wapi kama taifa...?

1. Kama Management haizalishi faida wanalipwa mishahara ya nini? 2. Je, ni kweli Watazara wote hatuwezi kuendesha reli mpaka aje mchina? 3. Hatujamkabidhi ila tumemkabidhi kwa miaka 30, baada ya hapo hiyo miundombinu itakuwaje na tutapataje faida? Anyway! Afrika yangu

Hivi msigwa unatuona kama matako yenu siyo

Wote wachina tunawajua vizuri sana vp 1. Ajira za watz walikuwa wanafanya kazi TAZARA? 2. Vipi kuhusu ajira mpya za wtz? 3. Vp kuhusu thamani ya pesa kwa kipindi hicho cha miaka 30 itabaki hivyo hivyo?

Shut up msigwa.. unajifanya si mtanganyika na vifo vya watanganyika wenzako avikuhumi. Traitor 😡

Mnaendelea kutengeneza bomu kubwa sana soon kama amtobadilika linalipuka

😂🤣 Tatizo la SERIKALI, wanayekutuma uje utetee, unamasihara mengi. Mambo mengi hufafanuliwa fafanuliwa tu. Ni vile tu tunachukulia poa sekta hii ya Taarifa na Habari. Sekta ya Habari, inahitaji jambo kuu moja kabla ya yote, UAMINIFU kwa mwasilishaji. UAMINIFU huu unajengwa na picha aliyojijengea mtu kwa jamii katika mambo kadha wa kadha, ikiwemo namna jamii inavyo mheshimu na kumshabikia kwa mambo yake na taswira yake katika nyanja za kijamii. Ndiomaana huwezi ona mtangazaji wa vyombo vya Habari akawa ni mtu asiyekubalika na bado akaendelea kutangaza mambo ya Habari. Kwa sasa, sekta ya Habari ya Serikali, inapaswa kubadilishwa, Msigwa tayari anapicha hasi machoni pa jamii, na hii ni kwasababu amehusika kutetea na kufafanua mambo mengi ya serikali yaliyo na mtazamo hasi tayari, na bahati mbaya pengine ufafanuzi wake unakuwa tofauti na matokeo. Msigwa hata aelezeje, hawezi kuaminika. Kwahiyo hawezi kuuzima mjadala uliopo, na kama hawezi kuuzima, inamaana bado utaendelea kujadiliwanna mwisho kujengewa picha hasi hata kabla mradi haujaanza. Tunaweza kuona hili ni jambo la kawaida, lakini kwa namna mambo yaendavyo kwasasa, huduma inaweza isionekane inatija kwa mustakabali wa taifa, hivyo ukapuuzwa kutumika na raia kiuchochevu maendeleo yao. Mwisho wa siku, bado mradi utaangukia kwenye hasara na ikawa biashara kichwa pia. BIASHARA kichaa za serikali ni nyingi mbona 😂😂 karibia zote ni biashara kichaa. Tukianza kumsoma CAG, utaona kila biashara inalishwa na mifuko mingine na si mapato yake. Hasara ni kila mahala serikali inapopaongoza. Punguzeni nongwa na minong'ono kwatika hii miradi, na hii ni pamoja na kuweka wazi makubaliono yenu, lakini pia kutumia watu wanaoaminika kuleta ufafanuzi na elimu kwa umma. Badilisheni wasemaji na wapayukaji wenu.

Kodisheni na uwanja wa Taifa Mkapa stadium kwa wachina Mmeshindwa kuurudisha katika ubora wake toka muanze kuurekebisha.

Hatupokei huu uninga wenu

Unaleta jangwa tu maelezo mengiii

Watanzania ni wajinga sana!!! Mnadanganywa kila kukicha !!!

Hivi kwann watz hatujui kutengeneza mabom...nmeanza kuona umuhim wake

Maelezo mazuri,shida inaweza kuwa utekelezaji

What is the longest railway line in East Africa and SADC?

Wewe Msemaji hawa wazee wa TAZARA walikuwa kabla yako lakini watu wameshafariki zaidi ya 300. Nyinyi ni wanyonyaji wakubwa.
