Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Ujumbe huu ufike Chamwino.
23,708 görüntüleme • 1 yıl önce •via X (Twitter)
5 Yorum

#Kigogo wa mama🇱🇷1 yıl önce
Me kila siku ntawaona nyie chadema ni wapumbavu kwa sababu. Kwanza chadema kwa miaka yote hamjui kukitangaza chama chenu nje ya kukosa sera majukwaani. Chama kinaitaji watu na sio kubangua watu kama CCM imeweza kuwapa tuzo comedia na nyie wekeni LISSU Ndondo Cup watu wacheze ⚽

Mussa Ndelule1 yıl önce
Siku Moja taifa hili litamwaga damu kizembe sana

Mbuya Mpenda 🅰️MANI1 yıl önce
Uchunguzi ufanyike ijulikane where is Soka na wenzie

Geofrey Enock1 yıl önce
Kabisa Tena Makatuni Kabisa

Samwel Msuya1 yıl önce
Hakuna amani kuna utii kwa serekali wa shuruti. Ukinyanyua kichwa serekali inakanyaga.....😭
