正在加载视频...
视频加载失败
Ukweli mchungu 📌
10 条评论

Dah! Huyu jamaa huyu,hata akifa siku yyte,(japo hatuombei ila iwe kwa ratiba ya Mungu)kalitendea haki jina lake na karama ambayo Mungu alimpa, Binafsi simdai kitu asee,bless up,

Ha ha ha ha Chama chake.....na sio serikali yake. Viva Mh, Rais vyama acha viumizane Serikali ndio refaree wa vyama.

@MikatiKajange Hakika huyu nikiongozi

Jamaa yupo smart sana kwny kuongea

Hilda ulkuwa unaagalia mpira pia

Ni sahihi,serikali ya awamu ya TANO itabakia kuwa serikali iliyoumiza watu kuliko awamu zote kuanzia watu kuuliwa,kundi la wasiojulikana,watu kufilisiwa mali zao kibabe,watu kupotea,makampuni na mashirika mengi binafsi kufa nk nk nk !!!

Inaumaa

Jambo muhimu sana katika yooote na harakat zako zoote, Naamini unafanya ivo but jipambanie hizi sarakasi zina ukomo wa maajabu mnoo

CDM ikulu wataisikia tu 😂😂

Wewe mwenyewe ni sehemu ya chama tawala
相关视频
Maaskofu wanamchukia Mchungaji Kimaro kwasababu anasema ukweli mchungu.
Hilda Newton
94,705 次观看 • 3 年前
